DHARURA: Majina ya wabunge wanaosema posho ya laki 3 haitoshi

Nahisi usipotaja majembe ya cdm huwa chupi inakupwaya. Angalia wasije wakakuvalisha shela
 
Tatizo unajifanya unajua sana kiingereza chako cha kukakiririsha misamiati ya kiingereza wakati huwezi kuongea hicho kiingereza mfululizo hata walau hata dk 10 tu.

Yes blaza wis time ai mait manage to be fluent,ai hopu yu noo praktis makes iti pafekti!!!!!! Ken yu be of ene helpu????!!!!!
 
Unaandika utadhani upo facebook! mi siyo muhuni.

Ungekuwa sio muhuni ungefanya haya unayofanya???!!!! Mtu kaanzisha uzi we unazingua tu mwanzo mwisho!!!!!!!
Ukileta uhuni utakimbia wewe humu wapo watu wa kila aina, sasa kama una majina taja kama huna achia wenye interest na huu uzi we tafuta mwingine kachangie huko!!!!
 
Huna hoja wewe unapenda kujadili watu tu, badala ya hoja, kwa taarifa yako posho zinaongezwa haya kajinyonge.

Wanastahili Posho ya kujikimu ambayo ni malazi, food,H2O, usafiri,vocha,sabuni, lotion, salon, dobi, sadaka, na Matunzo nyumbani.
 
Mkuu Count to wale MAccm wasiyojitambua, maana huwezi kumuacha Lusinde.
 
Huna hoja wewe unapenda kujadili watu tu, badala ya hoja, kwa taarifa yako posho zinaongezwa haya kajinyonge.
Bootlicker unajistukia masterz wako wakitajwa!!!!
Faaala mkubwa wewe unavumiliwa unajiona babkubwa eti napenda kujadili watu nilikuambia wewe nuisance hapa watu tunaumia na haya mambo nyongo zimetujaa unabana sauti hapa unataka bwana au nini???!!!!
Posho ikiongezwa we unafurahia wakati hali ya life kitaa watu wanasota na hakieleweki???!!!!!!!
Mngese unaniharibia siku na kuni expose kwenye ban sababu huoni nini wanaume tunatoka jasho na.life inabana sababu ya wasengery kama wewe bootlicking type mnaotetea vitu bila kufikiri!!!!!!!!!

No wonder umekomaa hapa wasitajwe wasaliti,waambie hatuzimiki michongo yao kujipendelea wakati hali ya kimadaraja ya maisha inazidi kutofautiana!!!!!!!
Jingaaz mkubwa weee,next time ukiona wanaume wako kimya jiulize ni unyonge au wanaona how come kuzungumza!!!!!!Sio kubana pua kisa watu wako kimya KAPALAMSENGE unaelewa!!!!!!!
 
teh tusubili muda c mrefu watadai posho ya pu.m.b.u ni mzigo wameenda nao kwenye bunge la katiba.
 
ni heri kuchukua hata mil100 lakini Tanganyika irudi , wanataka posho zaidi lakini kichwani eti serikali 2 !
 
Wabunge wanachekesha sana wanasema eti kwa hadhi waliyo nayo hawawezi kulala kwenye nyumba za kulala wageni za vichocholoni.
Waziache hizo posho. Tupo ambao tuko tayari kwenda Dodoma bungeni hata kwa kujigharamia, ili mradi tutengeneze katiba. P^mb^v§ zao
 
Unagoongwa wewe mpenda ubwete, unalalamika tu fanya kazi unadhani serikali itakuwekea pesa mfukoni, Ubongo wako hauna tofauti na samaki....
Hata ukilalamika haikusaidii, fanya kazi uapte pesa yako utambe mjini zaidi ya hapo utaendelee kula vumbi tu na kumwagiwa matope barabarani nadhani umenielewa kijana mpenda ubwete.

Back
Top Bottom