Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.
Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.
Mbona uzi wako umeuleta kiumbea zaidi? Kwani ukishawajua utawafanya nini?
As time goes by unakuwa nuisance!!!!!!Mbona uzi wako umeuleta kiumbea zaidi? Kwani ukishawajua utawafanya nini?
Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.
Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.
nawe hazikutoshi, ushughulike nao umewateua wewe? Hivi nyie akili zenu ziko likizo? ungekuja na wazo la kushughulika na aliyeng'ang'ania kuwateua badala ya kuwaachia wananchi wenyewe ndo wajichagulie. leo kuna mtu na mkewe wote kawateua yeye tena toka chama kimoja unategemea nn? waache waendelee kutukomesha si watz mnajifanya hamnazo ushabiki ndo mmeuweka mbele kuliko mambo ya maana?
As time goes by unakuwa nuisance!!!!!!
kwakuwa nawewe ni mmbeya ndio maana umekuwa wa kwanza kuvutiwa nao
Nashukuru kwa kiswangilishi chako!Tatizo Mnapenda sana habari za udaku nimeuliza kwani ukiambiwa utawafanya nini, mbona wauza unga au wauaji wa wanyama pori haujawachukulia hatua?
Nimekerwa na habari kama hii we mtu anakurupuka tu eti atajiwe kwani atawafanya nini?
Kama kutajwa sio issue weka majina yako matatu hapa!!!!!
"Name and shame" ushaisikia mkuu????!!!!