Majina hayo:
1. Mbowe
2. Lemah
3. Msigwa
4. Sugu
5. Vicent
6. Kasulumbayi
7. Mdee
8. Mnyika
9. Tundu
10. Nassar
We andika utajua kama yanasaidia ua la????!!!!!Utakuwa unatumia ubongo wa samaki, nikikuandikia majina yangu yatakusaidia nini? na unayataka ya nini?
Tatizo unajifanya unajua sana kiingereza chako cha kukakiririsha misamiati ya kiingereza wakati huwezi kuongea hicho kiingereza mfululizo hata walau hata dk 10 tu.
Yes blaza wis time ai mait manage to be fluent,ai hopu yu noo praktis makes iti pafekti!!!!!! Ken yu be of ene helpu????!!!!!
Anayewakilisha wachawi na waganga
Unaandika utadhani upo facebook! mi siyo muhuni.
Ungekuwa sio muhuni ungefanya haya unayofanya???!!!! Mtu kaanzisha uzi we unazingua tu mwanzo mwisho!!!!!!!
Ukileta uhuni utakimbia wewe humu wapo watu wa kila aina, sasa kama una majina taja kama huna achia wenye interest na huu uzi we tafuta mwingine kachangie huko!!!!
Mbona uzi wako umeuleta kiumbea zaidi? Kwani ukishawajua utawafanya nini?
Huna hoja wewe unapenda kujadili watu tu, badala ya hoja, kwa taarifa yako posho zinaongezwa haya kajinyonge.
Bootlicker unajistukia masterz wako wakitajwa!!!!Huna hoja wewe unapenda kujadili watu tu, badala ya hoja, kwa taarifa yako posho zinaongezwa haya kajinyonge.
Waziache hizo posho. Tupo ambao tuko tayari kwenda Dodoma bungeni hata kwa kujigharamia, ili mradi tutengeneze katiba. P^mb^v§ zaoWabunge wanachekesha sana wanasema eti kwa hadhi waliyo nayo hawawezi kulala kwenye nyumba za kulala wageni za vichocholoni.
Bootlicker unajistukia masterz wako wakitajwa!!!!
Faaala mkubwa wewe unavumiliwa unajiona babkubwa eti napenda kujadili watu nilikuambia wewe nuisance hapa watu tunaumia na haya mambo nyongo zimetujaa unabana sauti hapa unataka bwana au nini???!!!!
Posho ikiongezwa we unafurahia wakati hali ya life kitaa watu wanasota na hakieleweki???!!!!!!!
Mngese unaniharibia siku na kuni expose kwenye ban sababu huoni nini wanaume tunatoka jasho na.life inabana sababu ya wasengery kama wewe bootlicking type mnaotetea vitu bila kufikiri!!!!!!!!!
No wonder umekomaa hapa wasitajwe wasaliti,waambie hatuzimiki michongo yao kujipendelea wakati hali ya kimadaraja ya maisha inazidi kutofautiana!!!!!!!
Jingaaz mkubwa weee,next time ukiona wanaume wako kimya jiulize ni unyonge au wanaona how come kuzungumza!!!!!!Sio kubana pua kisa watu wako kimya KAPALAMSENGE unaelewa!!!!!!!
Unatumia nini kufikiri mkuu???