Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Wewe anzisha uzi wa majangili acha kukalia channel hapa!!!!!!
Hili wazo la mtoa mada wewe kama unaona vipi anzisha wako kwa muktadha unaoona unafaaa!!!!!!
Ushamba kitu kibaya sana! !!!!%
Ushamba MzigoMzito na dawa yake ni Kuutua...........
...bilashaka wewe ni Makonda...
Tulivyosema WAJUMBE hawa wachaguliwe na wananchi tulikuwa na maana yetu - sasa hata kama ukiwajua itakusaidia nini, hawana kura yako bali wana wito (chaguo) la Mkuu wa nchi ambaye ndiye aliyewapeleka huko na hizo posho hawakuombi wewe bali nanamuomba yeye aliyewachagua.Kwa masikitiko na huzuni naomba majina ya wabunge wa bunge la katiba wanaodai posho ya laki tatu kwa siku haitoshi hivyo wanataka kuongezewa (NIPO SERIOUS TAFADHALI).... Hao wabunge si wa kuwaacha hivihivi, lazima jamii iwafahamu na tushughulike nao.
Usiandike kwa chuki tuwe makini na hili jambo, Wekeni majina tafadhali.
Ungekuwa mtoto wa kiume na unajua risk ya kutafuta oesa tunayokutana nayo wanaume wewe mtoto wa kike usingefurahia kuongezwa posho watu wakiwa wamekaa after all sio profession ni uteuzi! !!!!!!
Kama mtu ni mfanyakazi kwa merit analipwa that money sio shida ila hao hawastahili mama wa kilabuni wewe unayeshangilia huyu anayeitwa sungura mdogo leo kugawiwa kwa wachache kama kaishakiwa tembo!!!!!!! Hivi unajua unahitaji mtaji kiasi gani kupata hiyo laki tatu kwa siku????!!!! Halafu unabana pua hapa na mipasho????!!!! Watu wanagomea EFD ya laki nane leo mtu alipwe laki tatu kwa siku huku umeme na nishati vinapanda, umesikia ada za masterz????!!! Fcuk you embasile!!!!!! Do you know what it cost to take a child to an average medium school (kindergatten)?????!!!!!
About magari na pesa kwa attitude yako tuyaache tu mkuu sababu kwanza bado una mentality ya mshahara!!!!! Siyo topic ya leo hii ila jua na kuanzia leo fikiria kwa mapana na marefu wewe kuwa na gari (kama sio usafiri)isikusahaulishe wakina mama wanaoteka maji kwa kichwa vijijini,wafugaji hawana majosho, wakulima wanakopwa mazao, watoto under five dawa wananunuliwa na.wazazi???!!!!! Kuna thread humu inasema kuna shimo barabarani downtown umeiona???!! Unajua ina indicate nini??!!
Think big mdada muuza wewe!!!!!
Wewe anzisha uzi wa majangili acha kukalia channel hapa!!!!!!
Hili wazo la mtoa mada wewe kama unaona vipi anzisha wako kwa muktadha unaoona unafaaa!!!!!!
Ushamba kitu kibaya sana! !!!!%
Nimefuatilia Conversation ila nakuona we ndio una huo mdomo mchafu
ka uliona ni thread ya umbea OFF YOU GO..., hujalazimishwa kuingia wala kuchangia
Huyu ni Mbunge wa wapi!!!!!!!!!!
Usidandie hoja mi namjibu huyo anayejifanya anamdomo mchafu utadhani anasukutulia maji ya chooni.
Acha kunitusi nani mwanamke sasa, kama huwezi kujiajiri unataka ajira za serikali au watu binafsi funika kopo lako fanya kazi.
Kote uongeleapo be it kujiajiri au kuajiriwa huna hoja ya kutetea hayo unayosimamia hivi unajua mwalimu shule ya msingi mshahara kwa mwezi, unajua mshahara wa nurses?????
Nimekuuliza unajua income ya laki tatu kwa siku unatakiwa kuwa una run mtaji wa shilingi ngapi husemi! !!!!!!!!
Nakuuliza unajua laki tatu ni pango la nyumba nzima mikoani??!!!! Sasa jiulize nyumba thamani yake ndio ujue hiyo cash ya 300,000tshs kwa siku halafu endelea kubana pua!!!!
Katika mji uliopo just ask fremu ya biashara kwa mwezi ni shilingi ngapi ukiondoa K'koo pamoja na kuwa hujui sababu ya kuondoa K'koo (kama upo Dar).
Halafu unaongelea uanaume wakati michakato ya kuifikia hiyo 300 kwa siku hujui kiasi cha jasho wala concentration ya chumvi yake!!!!!!
Unakuja na msimamo wa kiboya hapa halafu usiitwe dada,kaa kiume utatambulika hivyo!!!!!!
Mnapenda kujua majina hafu mkiambiwa ndo mtafanya nini? Kama mafisadi wanaofanya umeme unaendelea kupanda bei kwa wao kuneemeka mbona bado mnawachagua?
Kote uongeleapo be it kujiajiri au kuajiriwa huna hoja ya kutetea hayo unayosimamia hivi unajua mwalimu shule ya msingi mshahara kwa mwezi, unajua mshahara wa nurses?????
Nimekuuliza unajua income ya laki tatu kwa siku unatakiwa kuwa una run mtaji wa shilingi ngapi husemi! !!!!!!!!
Nakuuliza unajua laki tatu ni pango la nyumba nzima mikoani??!!!! Sasa jiulize nyumba thamani yake ndio ujue hiyo cash ya 300,000tshs kwa siku halafu endelea kubana pua!!!!
Katika mji uliopo just ask fremu ya biashara kwa mwezi ni shilingi ngapi ukiondoa K'koo pamoja na kuwa hujui sababu ya kuondoa K'koo (kama upo Dar).
Halafu unaongelea uanaume wakati michakato ya kuifikia hiyo 300 kwa siku hujui kiasi cha jasho wala concentration ya chumvi yake!!!!!!
Unakuja na msimamo wa kiboya hapa halafu usiitwe dada,kaa kiume utatambulika hivyo!!!!!!
mbunge wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar