Dhuluma kubwa katika Tuzo za TFF, nani kutoroga?

Takataka kabisaaa. Yaan kisa kuchukua ubingwa ndo ulitaka squad yote wachukue tuzo? Unaumwa eh?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yap kama squad nzima ina wachezaji wazuri, unathubutuje kuwapa wabovu tuzo?

Kwani sheria ya tuzo inakataza kutoa tuzo kwa wachezaji wa timu moja hata kama wanastahili?
 
Kuwa serious basi kidogo. Yaani hiyo ndo logic yako katika soka na tuzo? Nani alikudanganya?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani ni uongo kua yanga mbovu?

Kwasababu tuna takwimu ambayo inaonesha yanga ni ya saba kutoka mwishoni
Yanga ni mbovu sana ila haijaifikia nyau mechi 5 imechapwa 3 na draw 1 ukishinda mechi 1 ambayo yanga wako nusu

Timu bila kuwa na viporo haichukui ubingwa timu Ama upumbavu
 
Mmepewa fursa mmeshindwa kuitumia mnaanza kulalama, kwanini msikomae club bingwa ili nanyie mje mpate hivyo viporo ambavyo mnaona simba ina nufaika navyo?

Sielewi hata mechanism ya viporo inamchango gani katika kufikia ubingwa, hivi viporo vya simba vinawazuiaje nyinyi kushinda mechi zenu?

Kwamba simba akiwa na viporo basi automatical yanga inakua haishindi mechi zake?
 
Hii nchi ngumu sana kubadilika, hata aje nani.

Tuzo ya Mchezaji Bora kupewa John Bocco ni dhulma kwa Chota Chama na wapenda soka.

Tuzo ya Mchezaji Bora wa FA kupewa Feisal ni dhulma kwa Konde Boy Luiz na wapenda soka wote.

Tuzo ya Goli bora kupewa yule mchezaji (simjui jina lake) ni dhulma dhidi ya BM3 Benard Morrison na wapenda soka wote.

Kwa akili zao fupi walipanga kuficha tuzo nyingi kutochukuliwa na wageni. Wakasahau kama mpira unachezwa hadharani.

Kama matukio ya hadharani unadanganya hivi vipi tukiwapa mtoe tuzo kwa mambo yanayofanyika chumbani?

Hovyo kabisa
Hata ungeandaa wewe hizo tuzo kuna watu wangepinga
Hata wangepiga kura makocha wapo wangepinga
 
Mmepewa fursa mmeshindwa kuitumia mnaanza kulalama, kwanini msikomae club bingwa ili nanyie mje mpate hivyo viporo ambavyo mnaona simba ina nufaika navyo?

Sielewi hata mechanism ya viporo inamchango gani katika kufikia ubingwa, hivi viporo vya simba vinawazuiaje nyinyi kushinda mechi zenu?

Kwamba simba akiwa na viporo basi automatical yanga inakua haishindi mechi zake?
anaropoka kwanza then ndo anatafakari
 
anaropoka kwanza then ndo anatafakari
Mikumbo na emotions ndio inayo wafanya washindwe kushirikisha ubongo

Akiisha ona utopolo wenzake wanalalama kuhusu viporo nayeye anaunga tela bila kutafakari ni kwa namna gani hivyo viporo vina changia timu kupata ushindi
 
Mmepewa fursa mmeshindwa kuitumia mnaanza kulalama, kwanini msikomae club bingwa ili nanyie mje mpate hivyo viporo ambavyo mnaona simba ina nufaika navyo?

Sielewi hata mechanism ya viporo inamchango gani katika kufikia ubingwa, hivi viporo vya simba vinawazuiaje nyinyi kushinda mechi zenu?

Kwamba simba akiwa na viporo basi automatical yanga inakua haishindi mechi zake?
Hatujapewa fursa, tumeitafuta wenyewe kwa kuwa washindi wa 2

Hakuna timu yenye uwezo wa kumpa fursa mwenzake, kama timu Iyo ipo Basi tunaomba mwaka huu iwape fursa mbeya city, prison ama costal union

Hujui michango wa viporo kweli mkuu, unaenda cheza na dodoma jiji yuko nafasi ya 9 akishinda haendi popote Ili Hali wewe unahitaji ushindi uchukue ubingwa he? Iyo mechi itakuwa na ushindani ama

Ujui viporo vinachochea upangaji wa matokeo, huko kimataifa ulicheza Peke yako mbona wengine hawakuwa na viporo 8+ kwenye ligi zao
 
Cha kushangaza zaidi kocha bora anakuwa asiye na vyeti
 
Hatujapewa fursa, tumeitafuta wenyewe kwa kuwa washindi wa 2

Hakuna timu yenye uwezo wa kumpa fursa mwenzake, kama timu Iyo ipo Basi tunaomba mwaka huu iwape fursa mbeya city, prison ama costal union

Hujui michango wa viporo kweli mkuu, unaenda cheza na dodoma jiji yuko nafasi ya 9 akishinda haendi popote Ili Hali wewe unahitaji ushindi uchukue ubingwa he? Iyo mechi itakuwa na ushindani ama

Ujui viporo vinachochea upangaji wa matokeo, huko kimataifa ulicheza Peke yako mbona wengine hawakuwa na viporo 8+ kwenye ligi zao
Timu iliyofika robo fainali ina advantage ya kuzifanya timu nne za ligi kuu kushiriki club bingwa, huku kama taifa tuki gain point 5 kuiweka tanzania kwenye rank ya juu kisoka.

Kwa hiyo hapa utaona sio tu simba kuzibeba timu kama yanga bali hata taifa nalo linakua proud, ligi ya tz inaonekana bora ni kwasababu kuna simba iliyo bora ambayo imefanya tz tuwe na point 18

Unapatia wapi nguvu za kusema hujabebwa?

Imekuaje mpaka dodoma afikie hatua ya kutokua na mwenendo mzuri mpaka ushindi ataopata usimsaidie chochote?

Huoni kwamba tafsiri yake ni kuwa dodoma jiji alipoteza michezo mingi huko nyuma kabla ya kukutana na simba kwenye viporo?

Kama alipoteza mechi nyingi, maana yake alikua hana huwezo wa kucheza vizuri au timu ilikua ina wachezaji wabovu, sasa ulitaka dodoma jiji kwa kikosi hicho ambacho kimekua na record mbaya za kufungwa na timu zingine kije kimfunge simba ambaye anashiriki mashindano magumu club bingwa na anapata matokeo mazuri?

Hivi kweli simba inayomfunga al ahly uje useme eti dodoma jiji kafungwa na simba kwasababu haja kamia gemu kwakua hata akishinda haendi popote, hivi ina make sense kweli?

Halafu sio kila kitu kinachofanywa na watu wa nje ni cha kuigwa, ushajiuliza kwanini hao hawakutuiga sisi kuwa na viporo vingi?

Probaly wao wanavyo chukulia ni tofauti na nyie, huwenda ikawa wanaona viporo vinawapa mzigo sana nafuu ya kucheza kwasababu kwa namna moja au nyingine inaweza kuwajengea chemistry wachezaji kwasababu wanakua na uzoefu kwenye pitch tofauti na kukaa kambini wakiacha viporo
 
Timu iliyofika robo fainali ina advantage ya kuzifanya timu nne za ligi kuu kushiriki club bingwa, huku kama taifa tuki gain point 5 kuiweka tanzania kwenye rank ya juu kisoka.

Kwa hiyo hapa utaona sio tu simba kuzibeba timu kama yanga bali hata taifa nalo linakua proud, ligi ya tz inaonekana bora ni kwasababu kuna simba iliyo bora ambayo imefanya tz tuwe na point 18

Unapatia wapi nguvu za kusema hujabebwa?

Imekuaje mpaka dodoma afikie hatua ya kutokua na mwenendo mzuri mpaka ushindi ataopata usimsaidie chochote?

Huoni kwamba tafsiri yake ni kuwa dodoma jiji alipoteza michezo mingi huko nyuma kabla ya kukutana na simba kwenye viporo?

Kama alipoteza mechi nyingi, maana yake alikua hana huwezo wa kucheza vizuri au timu ilikua ina wachezaji wabovu, sasa ulitaka dodoma jiji kwa kikosi hicho ambacho kimekua na record mbaya za kufungwa na timu zingine kije kimfunge simba ambaye anashiriki mashindano magumu club bingwa na anapata matokeo mazuri?

Hivi kweli simba inayomfunga al ahly uje useme eti dodoma jiji kafungwa na simba kwasababu haja kamia gemu kwakua hata akishinda haendi popote, hivi ina make sense kwel
Halafu sio kila kitu kinachofanywa na watu wa nje ni cha kuigwa, ushajiuliza kwanini hao hawakutuiga sisi kuwa na viporo vingi?

Probaly wao wanavyo chukulia ni tofauti na nyie, huwenda ikawa wanaona viporo vinawapa mzigo sana nafuu ya kucheza kwasababu kwa namna moja au nyingine inaweza kuwajengea chemistry wachezaji kwasababu wanakua na uzoefu kwenye pitch tofauti na kukaa kambini wakiacha viporo
Nimesoma majibu yako naona umeitumia nyundo kuua sisimizi mkuu

Simba hana na hata kuwa na uwezo wa kumbeba yanga kimataifa kamwee anacho fanya simba ni kuvuna pointi za kuwezesha timu 4 kwenda kimataifa

Sasa inabaki juhudi ya hizo timu kuhakikisha zinashika nafasi 1-4 (hapa wanagombania na simba pia) sasa unapo sema anazibeba/anaziwezesha anazipa pointi kufikia zile nne bora

Yeye anatengeneza nafasi tu atakaye kuwa Kati ya 4 bas anaenda

Hapa kwenye viporo nimecheka sana kwamba wazungu waige huu upumbavu (hujui viporo ni njia ya kupanga matokeo)

Umenifurahisha kuweka mfano wa simba iliyo mfunga al ahly kupigwa na dodoma jiji nani? Aliyekwambia haiwezekani kwani ruvu hakumpiga simba kwani kufanya vibaya mechi za awali ndo kunafanya usifanye vyema mechi kubwa mkuu unazungumzia soka/mpira ama wazungumzia ndondo/kabumbu
 
Labda uzungumzie simba hawezi kuibeba yanga kwasababu yanga haibebeki tumejaribu hata kwa mbeleko ya chuma lakini bado yanga inateleza

Mtu kukupa kazi ni msaada pia, huwezi kusema hujapewa msaada eti kwakua wewe ulitaka upewe hela, umepewa kazi ufanye na ndani ya hiyo kazi ndio kuna hiyo hela unayoitaka, juhudi zako na ustahimili wako ndio utaokuweka karibu na hizo hela.

Kuibeba yanga sio kuipa point, kubebwa nako zungumzia mimi ni kushiriki mashindano ambayo yamesababishwa na timu nyingine kufanya vizuri. Hayo mashindano mngeyatumia vizuri mgepata hizo points ambazo saizi unaziona cake

Hivi kuna mzungu gani mjinga huyo ambaye ana imani kama zenu kua viporo ni mbinu za kupanga matokeo?

Kwamba yanga ikiwa na viporo nane ambavyo inacheza na tp mazembe, al ahly, zamaleki, kaizer chiefs, mamelody, zamaleki, simba, pyramids nk. kuna mzungu anaweza kukubali kua yanga anaandaliwa ubingwa kwa viporo hivyo vya mechi?

Na wakati huo huyo mzungu anajua kua mechi yenu na ken gold mlishinda kwa penalty huku mkiwa mmekamiwa vibaya, na ken gold ni timu ya umiseta kule chunya

Bro ifike wakati utani uwekwe kando tuzungumze uhalisia, simba inayomfunga al ahly sio ya kuitafitia sababu kua inabebwa na TFF ili ichukue ubingwa. Al ahly mpaka anapaki basi nyumbani kwao sio jambo la kitoto halafu tukimfunga dodoma jiji we unasema tuna pangiwa matokeo??

Ebu nihakikishie kwanza kama hiki unachoandika hapa sio utani?

Kwamba unajenga hoja ionekane simba kumfunga al ahly ni kawaida, ila simba kuifunga dodoma jiji kwenye viporo iwe ni kubebwa bmna TFF huh??
 
Labda uzungumzie simba hawezi kuibeba yanga kwasababu yanga haibebeki tumejaribu hata kwa mbeleko ya chuma lakini bado yanga inateleza

Mtu kukupa kazi ni msaada pia, huwezi kusema hujapewa msaada eti kwakua wewe ulitaka upewe hela, umepewa kazi ufanye na ndani ya hiyo kazi ndio kuna hiyo hela unayoitaka, juhudi zako na ustahimili wako ndio utaokuweka karibu na hizo hela.

Kuibeba yanga sio kuipa point, kubebwa nako zungumzia mimi ni kushiriki mashindano ambayo yamesababishwa na timu nyingine kufanya vizuri. Hayo mashindano mngeyatumia vizuri mgepata hizo points ambazo saizi unaziona cake

Hivi kuna mzungu gani mjinga huyo ambaye ana imani kama zenu kua viporo ni mbinu za kupanga matokeo?

Kwamba yanga ikiwa na viporo nane ambavyo inacheza na tp mazembe, al ahly, zamaleki, kaizer chiefs, mamrlody, kuna mzungu anaweza kukubali kua yanga anaandaliwa ubingwa kwa viporo hivyo vya mechi?

Kwamba unajenga hoja ionekane simba kumfunga al ahly ni kawaida, ila simba kuifunga dodoma jiji kwenye viporo iwe ni kubebwa bmna TFF huu mifano yako inafurahisha balaa huko ulaya kwa wanao jua na wenye mashindano lukuki umewahi ona timu ikawa na viporo 8+ unajua ni kwa nini?

Unaleta mifano ya Ken gold unasahau
Labda uzungumzie simba hawezi kuibeba yanga kwasababu yanga haibebeki tumejaribu hata kwa mbeleko ya chuma lakini bado yanga inateleza

Mtu kukupa kazi ni msaada pia, huwezi kusema hujapewa msaada eti kwakua wewe ulitaka upewe hela, umepewa kazi ufanye na ndani ya hiyo kazi ndio kuna hiyo hela unayoitaka, juhudi zako na ustahimili wako ndio utaokuweka karibu na hizo hela.

Kuibeba yanga sio kuipa point, kubebwa nako zungumzia mimi ni kushiriki mashindano ambayo yamesababishwa na timu nyingine kufanya vizuri. Hayo mashindano mngeyatumia vizuri mgepata hizo points ambazo saizi unaziona cake

Hivi kuna mzungu gani mjinga huyo ambaye ana imani kama zenu kua viporo ni mbinu za kupanga matokeo?

Kwamba yanga ikiwa na viporo nane ambavyo inacheza na tp mazembe, al ahly, zamaleki, kaizer chiefs, mamrlody, kuna mzungu anaweza kukubali kua yanga anaandaliwa ubingwa kwa viporo hivyo vya mechi?

Na wakati huo huyo mzungu anajua kua mechi yenu na ken gold mlishinda kwa penalty huku mkiwa mmekamiwa vibaya, na ken gold ni timu ya umiseta kule chunya

Bro ifike wakati utani uwekwe kando tuzungumze uhalisia, simba inayomfunga al ahly sio ya kuitafitia sababu kua inabebwa na TFF ili ichukue ubingwa. Al ahly mpaka anapaki basi nyumbani kwao sio jambo la kitoto halafu tukimfunga dodoma jiji we unasema tuna pangiwa matokeo??

Ebu nihakikishie kwanza kama hiki unachoandika hapa sio utani?

Kwamba unajenga hoja ionekane simba kumfunga al ahly ni kawaida, ila simba kuifunga dodoma jiji kwenye viporo iwe ni kubebwa bmna TFF huh??
Mifano yako inafurahisha balaa

Licha ya ulaya kuwa na mashindano mengi umewahi ona timu ikawa na viporo 8+

Simba aliwahi lalamika yanga kuwa na viporo vi 4+ unafahamu ni kwa nini?

Kwamba hujui viporo zaidi ya vi 5+ upangaji wa matokeo uko nje nje

Unashangaa yanga kushinda kwa mbinde kwa Ken gold alafu unasahau huyo simba unae sema yuko hot hadi kumfunga Al ahly amepigwa mechi 3 Kati ya 5 na yanga msimu huu

Mkuu nimekwambia wewe unazungumzia kandanda/ ndondo sio soka

Kwamba simba kumfunga Al ahly, kaizer chiefs bas inaondoa uwezekano wa kufungwa na dodoma jiji ( kwa TFF yetu inawezekana)

Kama tu waliweza bumba takwimu Ili kuishusha kagera sugar kisa inamchapa sana simba kwa nini hili lishindikane
 
kukuelewesha wewe ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
Back
Top Bottom