Dhuluma na wizi unaofanywa na kampuni zinazokopesha bodaboda (pikipiki)

Subili Makonda umwambie
 
Ahsante mkuu
 
Hizo kampuni ni wakenya ila wafanyakazi wengi watanzania pia ni wakenya wahindi sasa basi wizi ni pale wabongo wanapona njaa kali .....umemaliza mkopo hujaenda kusign ....taarifa za gps wanapewa vijana wa kazi
 
Tofauti yao ni nini mkuu? Msiishie hewani tu.
GPRS ni evolution ya mitandao ya simu....ilianzia GSM GPRS...2G 3G 4G 5G....
GPS ni jinsi track vitu mbali mbali kutumia technology satelite au internet....( jaribu kujiongeza sio lazima uuulize kila kitu...jifunze toka nje box....)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…