mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 996
- 2,636
Unajua kuclear codes muhimu. Kwamba kwanza afute zoote zilizopo ndio afanye diagnosis upya. Unaweza kuta amesoma ata ambazo zilikuwepo zamani na ulishazisolve.sijajua boss maana niliacha gari garage akanitumia hizi results kwa whatsapp.
hio ku clear codes ndo inakuaje mkuu?
Kwa huo mkeka andaa million 2
Unajua kuclear codes muhimu. Kwamba kwanza afute zoote zilizopo ndio afanye diagnosis upya. Unaweza kuta amesoma ata ambazo zilikuwepo zamani na ulishazisolve.
Unaachaje gari gereji man. Usikute ata uzo code sio zako.
Habari za muda huu wana jamvi.
Leo nilienda kufanya diagnostic test kwa hii volkswagen yangu.
Majibu ni kama nilivoainisha kwenye picha hii.
Naombeni wataalamu na wabobezi, nianze ku solve tatizo lipi hapo kwanza? maana yapo mengi na kwa sasa bajeti inaeza ku feli.. naomba mnisaidie kujua lipi tatizo la emergency na lipi linaeza kusubiriView attachment 1823852
Hv inwezakana pia hapo issue ni kitu kimoja then kikazalisha errors zingneShukrani sana Boss.
Hv inwezakana pia hapo issue ni kitu kimoja then kikazalisha errors zingne
Maana yake ukirekebisha error hiyo moja
Zingine zote zinakuwa sawa
Naongea from experience
Ya Audi A4 2007 , 2.0T QUATTRO
Ambayo ni kampuni moja na hiyo ta kwako hivyo same engineering.
Hapo naona Code nne au tano za engine.
1. Egr valve na sensor yake. Hapa ukiclean egr valve peke yake hiyo code inaweza isitoke. Hapa inatakiwa pia uitafute njia yake kwenye intake manfold.
2. Oxygen Sensor / inaweza kuwa zaidi ya moja.
3. Map sensor
4. CKP sensor/Speed sensor ya engine.
Hizo case 4 better tu ukarekebisha as kila moja inaaffect ufanisi wa engine. Na kama haikukuli kwenye mafuta basi itakuja kukukula kwenye other spares siku za mbeleni.
Hiyo Air condition sijajua upo mazingira yapi. Ila for now unaweza kutulia kwanza.
Hv inwezakana pia hapo issue ni kitu kimoja then kikazalisha errors zingne
Maana yake ukirekebisha error hiyo moja
Zingine zote zinakuwa sawa
Naongea from experience
Ya Audi A4 2007 , 2.0T QUATTRO
Ambayo ni kampuni moja na hiyo ta kwako hivyo same engineering.
Pole sana...
Duuu!! Jamaa anaweza kudondoka Kwa mawazoKwa huo mkeka andaa million 2
Kwa huo mkeka andaa million 2
Duuu!! Jamaa anaweza kudondoka Kwa mawazo