Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

Habari za muda huu wana jamvi.

Leo nilienda kufanya diagnostic test kwa hii volkswagen yangu.

Majibu ni kama nilivoainisha kwenye picha hii.
Naombeni wataalamu na wabobezi, nianze ku solve tatizo lipi hapo kwanza? maana yapo mengi na kwa sasa bajeti inaeza ku feli.. naomba mnisaidie kujua lipi tatizo la emergency na lipi linaeza kusubiriView attachment 1823852
Hii gari bado inatembea?[emoji3064]
 
Mkuu mutu murefu , what's the latest ground so far kuhusu huyo mnyama Polo, anaamsha fresh to-date? ama alizidisha majanga?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom