Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

sijajua boss maana niliacha gari garage akanitumia hizi results kwa whatsapp.

hio ku clear codes ndo inakuaje mkuu?
Mkuu mnkosea sana kuacha magari garage....code nyingine unaweza ukatengenezewa tu, ukalipa hela za bure
 
Oh nashukuru sana mkuu kwa sasa nimeanza na EGR sensor pamoja, oxygen sensor na speed sensor (tumeagiza zitafika kesho)

Mafuta sijaona kama inakula ila kama ulivosema itakuja nisumbua mwishoni, kuhusu AC sio ishu kwa sasa, niko makambako kuna baridi kama yote
Pia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana spea
 
hii kitu niliwahi pia kuambiwa, wanasema systems zina integrate so unaeza kuta kimoja kikizingua kina affect kingine.

Ndo mana tukashauriana tuanze na vitu major kama oxygen, EGr and speed sensors then tufanye diagnostic tena
Pia muda mwingine re -calibration kwa kutumia software VCDS gari inakaa sawa hii Audi yangu mara nyingi nikishafanya service inHitaji re-calibration
 
Daily naiwaza na kuiota VW Golf GTI.

Lakini trend navyoiona, hizi chuma za mjerumani ni zaidi ya kuongeza
Pia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana spea
ebay .uk wanajitahidi hizi tena ukiwa na mtu unamwamiji kule uk very simple
Mfano engine control unit tz utaambia 1.5 M tsh
Wakati uk ni around laki 3 au 4
Wanatupiga sana hapa mjini
 
Million 2 + muda na uhaba wa spea husika (mpaka kuagiza)!

Kumbe ndiyo maana watu wanakomaa na Toyota tu.

Kama kipato ni cha 'niachie shati langu'... chuma ya mzungu lazima ikuvue nguo. [emoji41]

-Kaveli-

hahahah kweli mzee hizi chuma za mjerumani kama unanunua, inabidi uwe na toyota ya backup.

hizi chuma kupaki wiki kadhaa kusubiri spea ni jambo la kawaida. Ingawa ukishafunga unasahau

nina ka baby walker ka toyota so sipati shida usafiri.

na spea zake zimechangamka bei, brake pads tu za nyuma nmeagiza kwa 150k apo una muuzaji mwngne aliniambia 230k, oxygen sensor 200k mwingine kasema 250k etc

but all in all driving experience yake ni tamu sana, hata iweje huku sitoki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daily naiwaza na kuiota VW Golf GTI.

Lakini trend navyoiona, hizi chuma za mjerumani ni zaidi ya kuongeza mke wa pili.

-Kaveli-

mkuu “GO FOR IT”.. yes zinahitaji matunzo ila ni gari bora kabisa, na sio kuwa zinazingua kila siku, ukisha solve tatizo basi unasahau.

Mimi sijutii kabisa yani hata ifanyeje naihudumia kwa moyo wote na nme fall in love with it.
 
Pia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana spea

mkuu siagizi spea ila nnanunua kwa wauzaji hapahapa bongo wapo wanauza spea za magari ya ujerumani.

Mara nyingi naagizaga kwa “Jerry spare parts” uyu jamaa huwa sikosi spea contact yake +255 715 666 656

pia kuna hawa jamaa

+255 756 701 111 huyu yuko ilala anauza used spares

+255 753 500 400 huyu yuko arusha

+255 688 414 142 huyu morogoro

Kwa hawa jamaa huwaga sikosi spea yoyote na nkilipia naipata in 24 hours (nakaa mkoani)
 
mkuu “GO FOR IT”.. yes zinahitaji matunzo ila ni gari bora kabisa, na sio kuwa zinazingua kila siku, ukisha solve tatizo basi unasahau.

Mimi sijutii kabisa yani hata ifanyeje naihudumia kwa moyo wote na nme fall in love with it.

I like power (speed), comfortability, na safety.

Baby walker ya mjerumani 'VW Golf GTi' inakizi hivyo vigezo vyote. Naiwaza sana mkuu. Ipo siku.

Ila kwenye maintenance sasa, naona ni pasua kichwa! Haipo reliable, inabidi uwe na Toyota as back-up.

-Kaveli-
 
Mfano engine control unit tz utaambia 1.5 M tsh
Wakati uk ni around laki 3 au 4
Wanatupiga sana hapa mjini

wauzaji huku wanatupiga sana, maana wanajua maduka machache na demand ni kubwa, so hata akikuoa bei kubwa utanunua tu maana hauna altenative nyingine.

ila now naona kuna mwamko mkubwa, maduka mengi yanafunguliwa ya spea za ulaya so miaka michache ijayo zitakua cheap kidogo
 
I like power (speed), comfortability, na safety.

Baby walker ya mjerumani 'VW Golf GTi' inakizi hivyo vigezo vyote. Naiwaza sana mkuu. Ipo siku.

Ila kwenye maintenance sasa, naona ni pasua kichwa! Haipo reliable, inabidi uwe na Toyota as back-up.

-Kaveli-

One day yes bro! karibu sana
 
Back
Top Bottom