Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

mkuu siagizi spea ila nnanunua kwa wauzaji hapahapa bongo wapo wanauza spea za magari ya ujerumani.

Mara nyingi naagizaga kwa “Jerry spare parts” uyu jamaa huwa sikosi spea contact yake +255 715 666 656

pia kuna hawa jamaa

+255 756 701 111 huyu yuko ilala anauza used spares

+255 753 500 400 huyu yuko arusha

+255 688 414 142 huyu morogoro

Kwa hawa jamaa huwaga sikosi spea yoyote na nkilipia naipata in 24 hours (nakaa mkoani)
Thanks for sparing this....itasaidia wengi
 
Oh nashukuru sana mkuu kwa sasa nimeanza na EGR sensor pamoja, oxygen sensor na speed sensor (tumeagiza zitafika kesho)

Mafuta sijaona kama inakula ila kama ulivosema itakuja nisumbua mwishoni, kuhusu AC sio ishu kwa sasa, niko makambako kuna baridi kama yote
Kwa nini umeagiza mpya mkuu?Si inawezekana zimeharibika na zinatakiwa tu kutengenezwa?
 
Hilo pia linawezekana especially MAF sensor na O2 sensor....Kuna namna ya kuzisafisha ila inahitaji umakini sana na chemical sahihi..
Mkuu mimi sina imani na mafundi wetu kwa sababu wao chochote kikipata hitilafu ni wanabadilisha!

Ni kweli kwamba kwenye haya magari ya kisasa vifaa vyake havitengenezeki au ni hawa mafundi wetu walioishia la saba wanaaminisha watu kuwa vifaa havitengenezeki?
 
I like power (speed), comfortability, na safety.

Baby walker ya mjerumani 'VW Golf GTi' inakizi hivyo vigezo vyote. Naiwaza sana mkuu. Ipo siku.

Ila kwenye maintenance sasa, naona ni pasua kichwa! Haipo reliable, inabidi uwe na Toyota as back-up.

-Kaveli-
Nunua Mijerumani miwili haiwezi zingua yote kwa wakati mmoja. Nina backup ya toyota ila soon napiga chini, navuta E350 au Audi A7 kama sio Q5.
 
Mkuu mimi sina imani na mafundi wetu kwa sababu wao chochote kikipata hitilafu ni wanabadilisha!

Ni kweli kwamba kwenye haya magari ya kisasa vifaa vyake havitengenezeki au ni hawa mafundi wetu walioishia la saba wanaaminisha watu kuwa vifaa havitengenezeki?
Electronic devices mfano hizo sensors nyingi zikishaleta shida, ni kubadilisha tu, hazitengenezeki....Cha zaidi zitakuwa zinapeleka taarifa za uongo kwenye ECU na kupelekea gari kuka mafuta zaidi in na kukosa nguvu
 
Nzuri sana hizo pia

Ni vile tu huwa sivutiwi na gari yenye 'mkia' nyuma... yani naonaga inakuwa ndefu mno. 😀

That's why, kimuonekano mzuri, to me Sedan inakuwa option ya mwisho... sijuwi ni ujana na usela ndiyo vinanisababisha hivyo. 😎

Naonaga Sedan ni 'too official' kimuonekano.

Kama ni machaguzi, kwangu ni hivi:

1. Hatchback.
2. Suv.
3. Sedan.

Nakomaa hadi VW Polo GTi or Golf GTi niitie mkononi one day in near or distant future. One Day Yes.

Sometimes maisha ni ubishi tu... penye NO tunaweka 'YES'. 😎

Lazima kufanikiwa mkuu wangu, labda uamue ku fail. Mie machaguo yangu ni 😀😀
1. Sedan
2. Sedan
3. Sedan

Huniambii kitu kwenye Sedan.
Mwaka huu kabla hujaisha A7 au E350 naiweka barabarani
 
Back
Top Bottom