Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Mkuu mnkosea sana kuacha magari garage....code nyingine unaweza ukatengenezewa tu, ukalipa hela za buresijajua boss maana niliacha gari garage akanitumia hizi results kwa whatsapp.
hio ku clear codes ndo inakuaje mkuu?
Pia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana speaOh nashukuru sana mkuu kwa sasa nimeanza na EGR sensor pamoja, oxygen sensor na speed sensor (tumeagiza zitafika kesho)
Mafuta sijaona kama inakula ila kama ulivosema itakuja nisumbua mwishoni, kuhusu AC sio ishu kwa sasa, niko makambako kuna baridi kama yote
Pia muda mwingine re -calibration kwa kutumia software VCDS gari inakaa sawa hii Audi yangu mara nyingi nikishafanya service inHitaji re-calibrationhii kitu niliwahi pia kuambiwa, wanasema systems zina integrate so unaeza kuta kimoja kikizingua kina affect kingine.
Ndo mana tukashauriana tuanze na vitu major kama oxygen, EGr and speed sensors then tufanye diagnostic tena
Hiyo Ac ilibidi huko ikupe joto mkuuPia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana spea
Hahahah hizo gari hazitaki mfuko wa kibabaishajiMillion 2 + muda na uhaba wa spea husika (mpaka kuagiza)!
Kumbe ndiyo maana watu wanakomaa na Toyota tu.
Kama kipato ni cha 'niachie shati langu'... chuma ya mzungu lazima ikuvue nguo. 😎
-Kaveli-
Mfano engine control unit tz utaambia 1.5 M tshDaily naiwaza na kuiota VW Golf GTI.
Lakini trend navyoiona, hizi chuma za mjerumani ni zaidi ya kuongeza
ebay .uk wanajitahidi hizi tena ukiwa na mtu unamwamiji kule uk very simplePia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana spea
Kufa hufi ila cha mtema kuni utakionakudadeki nisipokufa huu mwaka, sitakufa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Million 2 + muda na uhaba wa spea husika (mpaka kuagiza)!
Kumbe ndiyo maana watu wanakomaa na Toyota tu.
Kama kipato ni cha 'niachie shati langu'... chuma ya mzungu lazima ikuvue nguo. [emoji41]
-Kaveli-
Duuu!! Jamaa anaweza kudondoka Kwa mawazo
Daily naiwaza na kuiota VW Golf GTI.
Lakini trend navyoiona, hizi chuma za mjerumani ni zaidi ya kuongeza mke wa pili.
-Kaveli-
Mkuu mnkosea sana kuacha magari garage....code nyingine unaweza ukatengenezewa tu, ukalipa hela za bure
Pia ningeshauri utuwekee mtandao uliotumia kuagiza spea...itasaidia wahanga wengi wanaosema magari tofauti na Toyota hayana spea
Pia muda mwingine re -calibration kwa kutumia software VCDS gari inakaa sawa hii Audi yangu mara nyingi nikishafanya service inHitaji re-calibration
Hiyo Ac ilibidi huko ikupe joto mkuu
Tena ndo matumizi yake winter season ulaya
mkuu “GO FOR IT”.. yes zinahitaji matunzo ila ni gari bora kabisa, na sio kuwa zinazingua kila siku, ukisha solve tatizo basi unasahau.
Mimi sijutii kabisa yani hata ifanyeje naihudumia kwa moyo wote na nme fall in love with it.
Mfano engine control unit tz utaambia 1.5 M tsh
Wakati uk ni around laki 3 au 4
Wanatupiga sana hapa mjini
Kufa hufi ila cha mtema kuni utakiona
I like power (speed), comfortability, na safety.
Baby walker ya mjerumani 'VW Golf GTi' inakizi hivyo vigezo vyote. Naiwaza sana mkuu. Ipo siku.
Ila kwenye maintenance sasa, naona ni pasua kichwa! Haipo reliable, inabidi uwe na Toyota as back-up.
-Kaveli-
Okay hapo sawaAC ya joto inafanya kazi vizuri tu, ila AC ya baridi ndo hafanyi kazi, tumecheki ni mtungi ulivuja gesi yote