Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

Thanks for sparing this....itasaidia wengi
 
Kwa nini umeagiza mpya mkuu?Si inawezekana zimeharibika na zinatakiwa tu kutengenezwa?
 
Hilo pia linawezekana especially MAF sensor na O2 sensor....Kuna namna ya kuzisafisha ila inahitaji umakini sana na chemical sahihi..
Mkuu mimi sina imani na mafundi wetu kwa sababu wao chochote kikipata hitilafu ni wanabadilisha!

Ni kweli kwamba kwenye haya magari ya kisasa vifaa vyake havitengenezeki au ni hawa mafundi wetu walioishia la saba wanaaminisha watu kuwa vifaa havitengenezeki?
 
Nunua Mijerumani miwili haiwezi zingua yote kwa wakati mmoja. Nina backup ya toyota ila soon napiga chini, navuta E350 au Audi A7 kama sio Q5.
 
Electronic devices mfano hizo sensors nyingi zikishaleta shida, ni kubadilisha tu, hazitengenezeki....Cha zaidi zitakuwa zinapeleka taarifa za uongo kwenye ECU na kupelekea gari kuka mafuta zaidi in na kukosa nguvu
 
Nzuri sana hizo pia

Ni vile tu huwa sivutiwi na gari yenye 'mkia' nyuma... yani naonaga inakuwa ndefu mno. πŸ˜€

That's why, kimuonekano mzuri, to me Sedan inakuwa option ya mwisho... sijuwi ni ujana na usela ndiyo vinanisababisha hivyo. 😎

Naonaga Sedan ni 'too official' kimuonekano.

Kama ni machaguzi, kwangu ni hivi:

1. Hatchback.
2. Suv.
3. Sedan.

Nakomaa hadi VW Polo GTi or Golf GTi niitie mkononi one day in near or distant future. One Day Yes.

Sometimes maisha ni ubishi tu... penye NO tunaweka 'YES'. 😎

-Kaveli-
 
Lazima kufanikiwa mkuu wangu, labda uamue ku fail. Mie machaguo yangu ni πŸ˜€πŸ˜€
1. Sedan
2. Sedan
3. Sedan

Huniambii kitu kwenye Sedan.
Mwaka huu kabla hujaisha A7 au E350 naiweka barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…