Habari za muda huu wana jamvi.
Leo nilienda kufanya diagnostic test kwa hii volkswagen yangu.
Majibu ni kama nilivoainisha kwenye picha hii.
Naombeni wataalamu na wabobezi, nianze ku solve tatizo lipi hapo kwanza? maana yapo mengi na kwa sasa bajeti inaeza ku feli.. naomba mnisaidie kujua lipi tatizo la emergency na lipi linaeza kusubiri
View attachment 1823852