Sio lazima awe na mawazo kama yako wewe ndio awe mtu wa kustahili sifa. Wabongo tunao ule ugonjwa mmoja ambao bado haujapata daktari, tunaamini kwamba mawazo yetu siku zote yapo sahihi na anayefikiria kinyume na sisi huyo hajui anachokifanya na anatakiwa abadilishe upesi sana aina yake ya mtazamo na mwelekeo wa maisha!!, very very wrong concept.Diamond is an Idiot.. There is no doubt.
He is a qualified idiot.
Nilijua tu lazima Bashite amtumie on that way na ametumika kweli kijinga kabisa.
Ukishishakuwa msanii wa muziki wa rank ya Diamond lazima uwe na broad way of thinking (uwezo mkubwa wa kufikiri na kutambua)ya kuweza ku evaluate what's going on kwenye Jamii kwenye muda husika na how u will respond to it.
Unfortunately Diamond na Bashite wake wote ni empty headed.. zero brain.. na ndio maana Bashite alivyomwomba Diamond atunge wimbo wa namna hiyo kwasababu hana akili akakubali.
cc W. J. Malecela
Hata mimi kwenye simu yangu hautapigwa nimeufuta mara tu baada ya kuusikilizaHuo wimbo hautapigwa wala kutajwa katika vituo vifuatavyo
Clouds Media
E- FM
ITV na Redio One
EATV
Labda utasikika kwa muda vituo vifuatavyo
Uhuru Fm
TBC
Na kawatukana watanzania haswaa kwa ujinga wake.Diamond amekuja kuwatukana watanzania kwa maagizo ya Bashite.
KvpDiamond inaanza kuwa kero hapa mjini
Angekaa kimya kama alivyousiwaAnalyse ww situation bila kuwa biase
Unalazimisha kuambiwa unachopenda wakati wewe hutaki kuheshimu mawazo ya wengineulianza vizuri hapo juu ila chini ukadhiririsha uzombi wako