Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond is an Idiot.. There is no doubt.
He is a qualified idiot.

Nilijua tu lazima Bashite amtumie on that way na ametumika kweli kijinga kabisa.

Ukishishakuwa msanii wa muziki wa rank ya Diamond lazima uwe na broad way of thinking (uwezo mkubwa wa kufikiri na kutambua)ya kuweza ku evaluate what's going on kwenye Jamii kwenye muda husika na how u will respond to it.

Unfortunately Diamond na Bashite wake wote ni empty headed.. zero brain.. na ndio maana Bashite alivyomwomba Diamond atunge wimbo wa namna hiyo kwasababu hana akili akakubali.
cc W. J. Malecela
Sio lazima awe na mawazo kama yako wewe ndio awe mtu wa kustahili sifa. Wabongo tunao ule ugonjwa mmoja ambao bado haujapata daktari, tunaamini kwamba mawazo yetu siku zote yapo sahihi na anayefikiria kinyume na sisi huyo hajui anachokifanya na anatakiwa abadilishe upesi sana aina yake ya mtazamo na mwelekeo wa maisha!!, very very wrong concept.

Tambua kwamba Diamond ametajirika kwa sababu ya ule uthubutu wa kufanya kitu ambacho wengi hawakitaraji katika muda fulani kukiona kikifanywa na mmojawao.
 
Huo wimbo hautapigwa wala kutajwa katika vituo vifuatavyo
Clouds Media
E- FM
ITV na Redio One
EATV
Labda utasikika kwa muda vituo vifuatavyo
Uhuru Fm
TBC
Hata mimi kwenye simu yangu hautapigwa nimeufuta mara tu baada ya kuusikiliza
 
  • Thanks
Reactions: 911
Ni mwendelezo wa ujinga wa vijana wengi wa kitanzania
 
Mimi ni shabiki nambari moja wa diamond ila ulichokifanya kitakupeleka pabaya
Amini nakwambia huyu bashite unayempigia debe ipo siku yatakutokea puani tu
Yaliwakuta wema itakua ww?
Yalimkuta nape itakua ww?
Yaliwakuta clouds itakua ww?
Kina manji, petirman, na watu kibao sembuse ww?
Hao wote walikua vipenzi wake bashite
Mimi nakwambia umeamua kuwa against na taifa na kuwasaliti masikin wa nchi
Amini nakwambia unajiingiza vita na ngoma usiyoijua
Unataka kupotea kisanii ww si bure amini nakwambia
Unajiingiza kwenye migogoro bila kujua unajiharibia.
Bora ungebaki kimya tu
 
Sijaona kosa la diamond mpaka sasa!mbona Nay anaimba na hajatukanwa?!au kwa kuwa kaimba diamond?!

Mange ni chizi tu kama machizi wengine,anataka watu wamuamini yeye kwa lazima kama nani?!
 
Mi nilijua domondi ana hela kumzidi Bashite kumbe ni kinyume chake....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwahyo domondi hapo kanunuliwa eti.....?
 
Mwachen Mond akae kimya, ye mwenyewe anaumia, ila alipwi kwa kazi ya Siasa analipwa na kipaji chake... Bado mdogo bora avunge tu....

Uyo Mbowe baada ya kufukuzwa Bilicanas amekaa Kimya Sembuse Diamond....
 
CCM wanamtumia sana huyu diamond.
Naye anakubali kutumika bila kufikiri watu wanapata mateso na ccm.
 
Lakini kiuhalisia kaimba vizuri sana, kaonesha hisia zake juu ya sakata LA yanayoendelea sasa nchini!

Amefanya vema, wanamuziki au wasanii wengi huonesha hisia Zao katika kazi zao za sanaa. Theme ya wimbo huu umebebwa katika beti ya mwisho. Amefanya vema sana kama utajaribu kum judge pasipo kuweka mapenzi au chuki juu yake.
 
Back
Top Bottom