Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.

Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.

Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...

Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
 
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Najua kuwa aneshindwa kubalance,ili asionekane yuko kwa. Wasanii au kwa bashite lakin kipi kilikuwa bora kwake? Kukaa kimyaa au kutupa wimbo wa kutudihaki na kidaiyeye ndio anadai hak,haki gani kaidai kwenye wimbo huo?
 
Ndo ulicho gundua tu..au bado unaskiliza..sio lazima utoe hata usichokijua....yaan hata kwa akili ya kitoto unaelewa kabisa mamaake kamwambia akae kimya ila yeye kagoma na kuongelea...yaan wabongo bana..
mpe salamu zake wewe uliyemuelewa mwambie aendelee kaa kimya sasa! 😀😀😎😎😎
.png
 
Nashangaa kwa nini watu wanahangaika na the so called Diamond. PLATO aliwaweka watu katika makundi haya
1. Golden boys- would be educated for future positions as philosopher – kings (ruler and policy makers).

2. Silver boys: The less bright but physically fit - the silver boys - would have to be trained to become defenders of The Republic (as soldiers).

3. Iron boys, the dull pupils - should be prepared for an intellectually less demanding vacation, in the realm of the manual, menial and similar occupations, entertaining the other two above, enough to challenge them in their sense of contribution to the welfare of everyone else---- DIAMOND BELONGS HERE.....
 
Najua kuwa aneshindwa kubalance,ili asionekane yuko kwa. Wasanii au kwa bashite lakin kipi kilikuwa bora kwake? Kukaa kimyaa au kutupa wimbo wa kutudihaki na kidaiyeye ndio anadai hak,haki gani kaidai kwenye wimbo huo?
UTAJIRI WA UBONGO UPI?
 
almasi itageuka maji kesho. domo akome kutumiwa na bashite
 
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.

Kama unahisi huo wimbo Chibu kanyamaza rudi sikiliza alivyonguruma kwa akili.
Indeed, we are educated to be stupid!
 
Najua kuwa aneshindwa kubalance,ili asionekane yuko kwa. Wasanii au kwa bashite lakin kipi kilikuwa bora kwake? Kukaa kimyaa au kutupa wimbo wa kutudihaki na kidaiyeye ndio anadai hak,haki gani kaidai kwenye wimbo huo?
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.

Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...

Huyu dogo ana akili kuliko unavyodhani...
 
Pressure ya wananchi kwa ujmla wao ndio iliyopelekea Roma apatikane ,yeye anatuambia tukae kimya si hii inamaana alitaka mwenzie apotee!?
bashite na genge lake hawakutegemea Kama pressure ingekuwa kubwa hivi
 
Back
Top Bottom