Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa bashite alikaa. Kumtungia msitari....Wikaa na bashite kutunga. VESI
SWISSME
nenda kwenye Instagram page take utauona kawekajamani mwenye huo wimbo wa Domo anigei bas sija usikia
kesho nikienda kanisani niwe najua kinacho endelea kabsaa
Najua kuwa aneshindwa kubalance,ili asionekane yuko kwa. Wasanii au kwa bashite lakin kipi kilikuwa bora kwake? Kukaa kimyaa au kutupa wimbo wa kutudihaki na kidaiyeye ndio anadai hak,haki gani kaidai kwenye wimbo huo?Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
mpe salamu zake wewe uliyemuelewa mwambie aendelee kaa kimya sasa! 😀😀😎😎😎Ndo ulicho gundua tu..au bado unaskiliza..sio lazima utoe hata usichokijua....yaan hata kwa akili ya kitoto unaelewa kabisa mamaake kamwambia akae kimya ila yeye kagoma na kuongelea...yaan wabongo bana..
hahah! unataka kesho ukienda kanisani na wewe usikose cha kuongeajamani mwenye huo wimbo wa Domo anigei bas sija usikia
kesho nikienda kanisani niwe najua kinacho endelea kabsaa
duuhnenda kwenye Instagram page take utauona kaweka
UTAJIRI WA UBONGO UPI?Najua kuwa aneshindwa kubalance,ili asionekane yuko kwa. Wasanii au kwa bashite lakin kipi kilikuwa bora kwake? Kukaa kimyaa au kutupa wimbo wa kutudihaki na kidaiyeye ndio anadai hak,haki gani kaidai kwenye wimbo huo?
Indeed, we are educated to be stupid!Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Kama unahisi huo wimbo Chibu kanyamaza rudi sikiliza alivyonguruma kwa akili.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.Najua kuwa aneshindwa kubalance,ili asionekane yuko kwa. Wasanii au kwa bashite lakin kipi kilikuwa bora kwake? Kukaa kimyaa au kutupa wimbo wa kutudihaki na kidaiyeye ndio anadai hak,haki gani kaidai kwenye wimbo huo?
bashite na genge lake hawakutegemea Kama pressure ingekuwa kubwa hiviPressure ya wananchi kwa ujmla wao ndio iliyopelekea Roma apatikane ,yeye anatuambia tukae kimya si hii inamaana alitaka mwenzie apotee!?
Stupid: having or showing a great lack of intelligence or common senseIndeed, we are educated to be stupid!