MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Sh 300 unayo? au jikusanyeni muwe wengi wengi niwauzie kwa 150/- tujamani mwenye huo wimbo wa Domo anigei bas sija usikia
kesho nikienda kanisani niwe najua kinacho endelea kabsaa
Kwa ule wimbo wa Diamond haiitaji kamusi ili kuweza kuutafsiri kua alilenga kumuosha rafiki yake ambaye yeye anamuita mlezi wa wasafi, ila hayo mambonamshauri Diamond asiyaingilie kabisaa otherwise yatamuharibiaUwezo wa watanzania kuutafsiri wimbo
Huyu dogo diamond ameonyesha kuwa na akili ndogo sanaView attachment 492837
Salute...
Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...
Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...
Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!
Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
View attachment 492837

katika hii dunia haiwezekani mtu yeyote afanye jambo kuwafurahisha nyie wachache...diamond ataendelea kuwa juu hakuna wakumpangia nyimbo ya kuimba...shida zako umeshindwa kuzitatua unakaa kujadili ujinga..mlitaka atukane seerikali na watu wengne ndio mridhike??
Hivi ni lini watanzani wengi waliwahi kuwa na maisha ya furaha na amani?Jina la huo wimbo tu Mama kaniambia nikae kimya unabeba ujumbe mzito sana ambayo inaonyesha hofu iliyotanda nchi nzima sasa kufuatia vitisho mbali mbali kwa Watanzania kutoka kwenye utawala huu.
Kumbuka hata kujadili uwepo wa njaa kulitolewa vitisho mtu anaweza kuishia lupango. Yule Butiku alitoa kauli kwamba Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania na kinana naye juzi kazungumza katika mistari inayoshabihiana sana na kauli ya Butiku.
Kuna wingu zito nchini ambalo limeondoa furaha na amani ya Watanzania walio wengi nchini.
Iko wazi hawa ndo wanatumwa na bashite..View attachment 492837
Salute...
Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...
Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...
Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!
Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
Umeona mbali sana, sio tu Elimu ila naona kuna haja watanzania wafundishwe kufikiria kwa kina kwanza kabla ya kutoa criticism zenye motives na pressure Aidha ya ushabiki au kutaka kusikia wanayotaka kusikia tu.Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Akili yako ndo ni sawa tu..MIMI NI YANGA DAMU, NAJUA KITU GANI BASHITE KATUFANYIA WANA YANGA. NIMEAMUA LEO KUTOMUUNGA MKONO DIAMOND INAWEZA KUWA ISIWE NA IMPACT YOYOTE ILA NAFSI YANGU ITATAKASIKA.
Haya maneno hayanifanyi nitoke kwenye mstari,niko mbele yako kwa mengi,nimwsema sabab zlizonifanya nimuweke diamond kwenye kundi la wasanii wanaodumaza fkira za watz ww umeaandika tu maneno ya kunambia ninywe maji nani anaishi bila kunywa maji?Akili yako ni ndogo bwanamdogo mtoa mada.. Ni ndogo kuliko akili iliyotumika kutengeneza hiyo fasihi... Tulia, vuta pumzi, kunywa maji halafu sikiliza kwa makini utang'amua kitu.. Ukiona bado huelewi basi una uwezo mdogo sana wa kungamua fasihi
Usibake threads umeona point ni Gwajima hapa? Someni kwanza ndio muwe mnachngi kama unaharka sbr ukituliaWewe na huyo Gwajima mkafie mto ruvu huko..hivi mnafikiri kila mtu anatishwa na upuuzi...wewe na huyo gwajima mmechangia nini kwenye mafanikio ya Diamond?
Diamond kama mtanzania mwingine yeyote ana haki ya kutetea Amani ya nchi yake ...nyie kaendeleeni na hizo movie zenu za gwajima yeye anatafuta pesa..