Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Kesho almasi itageuzwa kuwa maji, ngoja tusibiri kusikia na kuona
 
BRAVO DANGOTE. Wenye matusi mlidhani mtabakia nanyinyi hakuwabakiza. Kama mweli Askofu kasema hayo. Nidhahiri yy ni mpiga diri na mwishowe u karibu. kam wa yule aliyeulaani umeme uliopita pale Sinza eti hautawaka.
 
Uwezo wa watanzania kuutafsiri wimbo
Kwa ule wimbo wa Diamond haiitaji kamusi ili kuweza kuutafsiri kua alilenga kumuosha rafiki yake ambaye yeye anamuita mlezi wa wasafi, ila hayo mambonamshauri Diamond asiyaingilie kabisaa otherwise yatamuharibia
 
View attachment 492837
Salute...

Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...

Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...

Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!

Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
Huyu dogo diamond ameonyesha kuwa na akili ndogo sana
 
Nafikiri tujifunze kukubali kuwa kila mtu ana mtizamo wake.Diamond katoa mtizamo wake.Inawezekana tusikubaliane kuhusu mahudhui ya wimbo.Ila tunaweza kukubaliana kuhusu umahiri wake wa kutumia fasihi
 
Akili yako ni ndogo bwanamdogo mtoa mada.. Ni ndogo kuliko akili iliyotumika kutengeneza hiyo fasihi... Tulia, vuta pumzi, kunywa maji halafu sikiliza kwa makini utang'amua kitu.. Ukiona bado huelewi basi una uwezo mdogo sana wa kungamua fasihi
 
katika hii dunia haiwezekani mtu yeyote afanye jambo kuwafurahisha nyie wachache...diamond ataendelea kuwa juu hakuna wakumpangia nyimbo ya kuimba...shida zako umeshindwa kuzitatua unakaa kujadili ujinga..mlitaka atukane seerikali na watu wengne ndio mridhike??
 
View attachment 492837
Salute...

Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...

Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...

Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!

Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..

Wewe na huyo Gwajima mkafie mto ruvu huko..hivi mnafikiri kila mtu anatishwa na upuuzi...wewe na huyo gwajima mmechangia nini kwenye mafanikio ya Diamond?

Diamond kama mtanzania mwingine yeyote ana haki ya kutetea Amani ya nchi yake ...nyie kaendeleeni na hizo movie zenu za gwajima yeye anatafuta pesa..
 
Walitaka wasikie "twende tukaandamane tumpate Roma" ndio wamkubali Diamond..wapuuzi sana hawa.
 
Jina la huo wimbo tu Mama kaniambia nikae kimya unabeba ujumbe mzito sana ambayo inaonyesha hofu iliyotanda nchi nzima sasa kufuatia vitisho mbali mbali kwa Watanzania kutoka kwenye utawala huu.

Kumbuka hata kujadili uwepo wa njaa kulitolewa vitisho mtu anaweza kuishia lupango. Yule Butiku alitoa kauli kwamba Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania na kinana naye juzi kazungumza katika mistari inayoshabihiana sana na kauli ya Butiku.

Kuna wingu zito nchini ambalo limeondoa furaha na amani ya Watanzania walio wengi nchini.

Hivi ni lini watanzani wengi waliwahi kuwa na maisha ya furaha na amani?
Ni katika awamu ipi?
Nimeuliza sababu nataka kujua inawezekana sijajua awamu zile zilopita kulikuwa na maisha ya furaha na amani kwa ndugu watanzania binafsi naonaga ni mateso, taabu na shida kubwa kila kukicha kwa watanzania.
 
Happy womens day kwa wanaume wote wenye tabia za kike...

Mwambieni ustar unacost zake...moja wapo ni kukemea mabaya bila kujali maslahi binafsi, awaulize kina femi kuti kule nigeria, bob marley kule jamaica....huwez kua mkweli rudi tandale kauze mitumba, mama this mama that shwaain kabisa. By the way ujumbe wake hapo juu umfikie.
 
View attachment 492837
Salute...

Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...

Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...

Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!

Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
Iko wazi hawa ndo wanatumwa na bashite..
 
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.

Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.

Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...

Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Umeona mbali sana, sio tu Elimu ila naona kuna haja watanzania wafundishwe kufikiria kwa kina kwanza kabla ya kutoa criticism zenye motives na pressure Aidha ya ushabiki au kutaka kusikia wanayotaka kusikia tu.
 
MIMI NI YANGA DAMU, NAJUA KITU GANI BASHITE KATUFANYIA WANA YANGA. NIMEAMUA LEO KUTOMUUNGA MKONO DIAMOND INAWEZA KUWA ISIWE NA IMPACT YOYOTE ILA NAFSI YANGU ITATAKASIKA.
Akili yako ndo ni sawa tu..
 
Akili yako ni ndogo bwanamdogo mtoa mada.. Ni ndogo kuliko akili iliyotumika kutengeneza hiyo fasihi... Tulia, vuta pumzi, kunywa maji halafu sikiliza kwa makini utang'amua kitu.. Ukiona bado huelewi basi una uwezo mdogo sana wa kungamua fasihi
Haya maneno hayanifanyi nitoke kwenye mstari,niko mbele yako kwa mengi,nimwsema sabab zlizonifanya nimuweke diamond kwenye kundi la wasanii wanaodumaza fkira za watz ww umeaandika tu maneno ya kunambia ninywe maji nani anaishi bila kunywa maji?

Leta facts kuteta au kuspot unachikiamin,kudgosha uwezo wangu wa kung'amua mambo kwa matus hakukufany ww uonekane kuna kitu unakjua zaidi ya mahaba bila reasoning(dogmatism)
 
Wewe na huyo Gwajima mkafie mto ruvu huko..hivi mnafikiri kila mtu anatishwa na upuuzi...wewe na huyo gwajima mmechangia nini kwenye mafanikio ya Diamond?

Diamond kama mtanzania mwingine yeyote ana haki ya kutetea Amani ya nchi yake ...nyie kaendeleeni na hizo movie zenu za gwajima yeye anatafuta pesa..
Usibake threads umeona point ni Gwajima hapa? Someni kwanza ndio muwe mnachngi kama unaharka sbr ukitulia
 
kwanza kabisa ni seme. kwa niaba ya familia yngu tunashukuru kupatikana kwa roma...ila nina maono ambato yanaweza kuwa kweli au si kweli..
Nyimbo mpya ya diamond imetoka jana 7/04/2017... lakin just imagine ..roma kakamatwa tarehe 6/06/017.. na kwente mistari yake anasema "juzi anasikia na roma amekamatwa "..means nyimbo ameitunga siku ya jana tarehe hyo hyo 07/04/017.. je ita possble kufikiria mistari,kuiandika na kuirecord na kuipeleke kwenye mitandao na redion ndani ya siku moja...??? binafsi siamin kwenye hlo ata ungekuwa na intellegencia kiasi gan sio kufanya vyote hvyo kwa siku..
what i thnk there is possbility ya diamond kujua kuna mchezo utatokea kwa roma xo.. akatunga nyimbo mapema tu kwa ajili ya tukio hlo...
lakin hayo ni maoni yangu yanaweza yasiwe kweli au ya kawa kweli... asanteni...
 
Back
Top Bottom