Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahah! unataka kesho ukienda kanisani na wewe usikose cha kuongea
Almas atafanya ni enjoy ibada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahah! unataka kesho ukienda kanisani na wewe usikose cha kuongea
View attachment 492837
Salute...
Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...
Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...
Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!
Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
Ulikuwepo wakati kinatangazwa kifo cha Nyerere..??kwanza kabisa ni seme. kwa niaba ya familia yngu tunashukuru kupatikana kwa roma...ila nina maono ambato yanaweza kuwa kweli au si kweli..
Nyimbo mpya ya diamond imetoka jana 7/04/2017... lakin just imagine ..roma kakamatwa tarehe 6/06/017.. na kwente mistari yake anasema "juzi anasikia na roma amekamatwa "..means nyimbo ameitunga siku ya jana tarehe hyo hyo 07/04/017.. je ita possble kufikiria mistari,kuiandika na kuirecord na kuipeleke kwenye mitandao na redion ndani ya siku moja...??? binafsi siamin kwenye hlo ata ungekuwa na intellegencia kiasi gan sio kufanya vyote hvyo kwa siku..
what i thnk there is possbility ya diamond kujua kuna mchezo utatokea kwa roma xo.. akatunga nyimbo mapema tu kwa ajili ya tukio hlo...
lakin hayo ni maoni yangu yanaweza yasiwe kweli au ya kawa kweli... asanteni...
gwajima atakuharibia enjoyment yako wakati akiwa anabadilisha almasi kuwa H2o[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Almas atafanya ni enjoy ibada
Mzee tunakusubiri kule kwetu au ndio umeamua kufunga bakuli na kule nini au tina kafaWacha nifunge bakuli langu.. Nikojoe nikalale
Afadhali umeongea..Tarehe 5 ndio Roma alitoweka!Nways kwa wanamuziki hata masaa 2 yanatosha!Nyimbo ya Mwasiti ft chid benz- hao,Chidi aliingia studio akamkuta mwasiti anarecord!Basi Mwasiti alipomuona akamuomba amshirikishe,jamaa akakaa pembeni akaandika mistari na akaingiza vocal pale pale!Ngoma ikatoka!
Huyo naye ni mwehu tu, personal attacking anazozifanya ni upuuzi mwingineBishop Gwajima Atategua Kitendawili Hiki Kesho
Kama watz waliowengi wameshindwa kuuelewa basi hauna faida kwao,labda wameimbiwa mbuziUwezo wa watanzania kuutafsiri wimbo
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Hana wimbo mzuri, tuambie wewe mwenye wimbo mzuri unamzidi nini Mondy?? Kufikiria kwa kutumia naniliu ni hatari sana wewe [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Katumwa na yltahaira wenzake bashite na m*****iView attachment 492837