Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Wacha nifunge bakuli langu.. Nikojoe nikalale
 

Ulipambana na shigongo??wap??? Acha unyumbu wewe ni mnafiki kama alivyo huyo daimond
 
Domo la Domo limekosa mawasiliano na kichwa
 
Ulikuwepo wakati kinatangazwa kifo cha Nyerere..??

Tuambie Komba na wale wasanii wengine waliandaa kifo cha Nyerere kabla..??
 
Afadhali umeongea..
Hawa watu wanachuki za wazi na binadamu wenzao kupita kiasi..
 
Ni wiki sasa tangu Erick Shigongo Kumuonya Diamond Platinumz kuwa Mameneja Wake watampoteza..

Jana Memeja wake Babu tale kwenye Press conference ya wasanii iliyofanyika coco beach kuhusu kupotea kwa msanii wa bongofleva Roma, alisema mkuu wa mkoa atasaidia kupatikana kwa Roma... Na kweli imekuwa....


Anajitokeza mkuu wa mkoa anathibitisha Roma atapatikana kabla ya Ijumaa Pili ...


Kabla ya Hiyo Ijumaapili na kuonekana kwa Roma, Diamond Anatoa wimbo wenye maudhui ya kutia mashaka....


Baada ya kuachiwa kwa wimbo huo Msanii Roma inasemekana kapatikana....



Baada ya msanii Roma kupatikana na wimbo huo kutoka ... Askofu Gwajima kama alivyotajwa kwenye wimbo huo anaomba watu wajitokeze kanisani kwake jumapili hii atoe ya kwake ya moyoni kuhusu yeye kuimbwa kwenye wimbo huu.....


[emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji769][emoji769][emoji769][emoji769][emoji769]

Ukifuatilia hii trend nzima mpaka siku ya Leo ... Naanza kuamini maneno ya Erick shigongo kuwa mameneja wake wanampoteza .... Sitaki niongee sana sina timu yoyote ... Ila tuache tuone muda utaongea ,
 
 
Hana wimbo mzuri, tuambie wewe mwenye wimbo mzuri unamzidi nini Mondy?? Kufikiria kwa kutumia naniliu ni hatari sana wewe [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]


Tumia akili, nimeuliza kama kweli Dimond ana nyimbo nzuri yeyote sijasema kuwa mimi nina nyimbo au wimbo mzuri. Mimi ni mpenzi wa muziki (I repeat MUSIC) na siyo mwanamuziki wala mbabaishaji wa kuimba kutumia playback.
 
Katumwa na yltahaira wenzake bashite na m*****i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…