jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Acha kusemea wengine kijana....!Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Pole sana!View attachment 492837
Salute...
Kwa huu wimbo kuna mawili au kupata kiki,au kupunguza idadi ya mashabiki,mim binafsi sikushabikii tena hata Kama sina impact kwako!...
Nimegundua umhimu wa Elimu kwenye kila jambo!,
nilipambana juzi na Erick shingongo kumsapoti Diamond lakini kwa Wimbo Huu Diamond umeyataka mwenyewe.We ni mnafiki sana bn mdogo!...
Sjui umekutwa na nini
Kwanza mwenzio yuko matatizoni kwako limekuwa sikitu,lakini unajua kabisa kuna bifu kati ya watanzania na kiongozi fulan juu ya vyeti,
eti unawaambia watu wakae kimya wakatafte senti!!
Dhana na dhima kubwa ya wimbo wako ni kimya chenye kelele zilizozidi uwezo wa maskio ya Watanzania,wimbo wako ni so oxymoronic,yaani ni sumu tamu kwa Watanzania ..
Nilipowagundua wote Zero walipoamua kutumia picha ya nyerere kwenye coverWalikaa na bashite kutunga. VESI
SWISSME
Kanunue wachafu. Comjamani mwenye huo wimbo wa Domo anigei bas sija usikia
kesho nikienda kanisani niwe najua kinacho endelea kabsaa
Though kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni siku zote usitegemee kupata mapokeo chanya......
Ujue kila oni lina impact yake tegemea na wakati gani linatolewa..
Yanayo mkuta Diamond ni wakati anatoa maoni yake
Swali ni kwamba Diamond alikuwa wapi siku zote asitoe maoni Yale mpaka aje kutoa wakati Tz sasa watu wanaishi kwa hofu,watu wanapotea vyombo vya dola havina majibu
Kwa hilo sitasita kusema Diamond kachemka,usishangae kuona anguko la huyu bwa mdg na huu unaweza kuwa mwanzo hilo anguko........
Nawasilisha.
Ukiaamini hivyo mkuu hauko sahihi...sanaa ni kipaji ambacho mtu anacho..mwanamuziki akili yao ni kubwa kuliko vile ambavyo wewe unafikiria...mfano ndani ya dk 3 tu domo kaongelea kila kitu na taifa linamjadili..ni kama vile unavyosoma daradani au kitabu kuelewa lazima utulize kichwa..muziki umeleta heshima ya mtu mweusi kule amerika..mziki umesaidia kupigania ukombozi wa afrika, mziki umesaidia kukemea maovu mbalimbali...nguvu ya muziki ni kubwa kiliko unavyofikiria mkuuWatu wanatuliza vichwa madarasani sio kwa wasanii failure kumukichwa.
Wenye akili zao wanafanya mambo yao na dunia inabadilika.Ukiaamini hivyo mkuu hauko sahihi...sanaa ni kipaji ambacho mtu anacho..mwanamuziki akili yao ni kubwa kuliko vile ambavyo wewe unafikiria...mfano ndani ya dk 3 tu domo kaongelea kila kitu na taifa linamjadili..ni kama vile unavyosoma daradani au kitabu kuelewa lazima utulize kichwa..muziki umeleta heshima ya mtu mweusi kule amerika..mziki umesaidia kupigania ukombozi wa afrika, mziki umesaidia kukemea maovu mbalimbali...nguvu ya muziki ni kubwa kiliko unavyofikiria mkuu
Una maana ni haki ya mwanaccm kukaa kimyaa anapoona uozo?Diamond anaweza kuwa kachemka kama unavyodai.....lakini unamuona kachemka kwa kuwa amekwenda kinyume na matarajio ya nafsi yako.......
Msanii ney wa mitego hivi karibunu ametoa maoni yake kupitia wimbo wake unaoitwa wapo......ni moja kati ya nyimbo zinazopendwa sana ingawa unaonekana kuwa na mashairi yenye kejeli kama sio matusi kwa viongozi......Ney ameutoa wimbo huo hali ya kuwa anajua kuwa kuna chuki kubwa au mitazamo mibaya dhidi ya serikali hasa ukiangalia mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ndio maana amepata support kubwa nA hatakukamatwa kwake kulizua huzuni sana kwa wanajamii.....kwa kuwa ni kama vile msanii huyo ameyachukua maneno kutoka kwenye vinywa vyao.......lakini mwisho wa siku yanasimama kuwa ni maoni yake na ametumia uhuru wake wa kutoa maoni.......
Na msanii Diamond amefanya kama alichokifanya Ney wa Mitego....lakini yeye ametoa maoni yake kupitia wimbo wake lakini maoni hayo yamekwenda kinyume na utashi wa wengi hasa kwa wakati kama huu.....lakini kwa mtu aliyekomaa kifikra na kidemokrasia hawezi akatoka pozi kiasi cha kutukana kwani anajua kuaa tunaishi kwenye jamii yenye watu mchanganyiko na wenye mitazamo tofauti.....
Kama jamii hatuwezi kuwa na mitazamo inayofanana hata kwenye jambo linalofanana.....ndio maana pamoja na madudu ya CCM mpaka leo hii bado kuna watu ni wanachama wa kutupwa wa CCM na wako tayari kufa kwa ajili ya CCM....na wao wanapaswa kuheshimiwa kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo kama ambavyo wewe unavyoona una haki ya kuamua kuwa mwanachama wa chama chochote bila ya kubugudhiwa......
Bado nasisitiza kuwa msawazo kwenye jamii inatokana na wanajamii kuvumiliana na kukubaliana katika mambo mbalimbali ya kijamii......
Mungu ibariki Tanzania....
Pole sana!
Una maana ni haki ya mwanaccm kukaa kimyaa anapoona uozo?
Kweli kabsa...dai ameimba mambo mazito ila ni ngumu kumuelewa Kama haupo makin...tatzo watu wanakurupuka wengine hata kuusikiliza hawajasikiliza .Sio CIA, au KGB (ilishabadilishwa jina) au Mossad au FBI au Scortland Yard wenye Uwezo wa Kusema Kwa Uhakika Kuwa Kabla ya Siku Fulani wanaweza Kuwapata Watu waliotekwa na Wakiwa katika hali fulani. Ni mtekaji Tu anaweza Kuwa na Uhakika wa aina hii.
Sasa Naona Iwapo Rais akimwacha Tena huyu Makonda/Bashite aendelee na impunity, Na watanzania Wakaona Mambo yako sawa, Nitaomboleza sana. So sad!
Elimu Basic Kabisa ya Upelelezi Ingetosha Kujua Makonda Ndiye Mtekaji, Hapa kwa Kuwa akili yake ni Ziro amejitaja Mwenyewe na Angekamatwa Kwa Upelelezi. Makonda is 99% suspect katika Mchoro huu!
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Diamond kwa wimbo huu kachemka,na hapa ni udhaifu kumfananisha na kazi yoyote ya sanaa,huelimisha,hukosoa,huburudisha jamii na kadharika.Diamond anaweza kuwa kachemka kama unavyodai.....lakini unamuona kachemka kwa kuwa amekwenda kinyume na matarajio ya nafsi yako.......
Msanii ney wa mitego hivi karibunu ametoa maoni yake kupitia wimbo wake unaoitwa wapo......ni moja kati ya nyimbo zinazopendwa sana ingawa unaonekana kuwa na mashairi yenye kejeli kama sio matusi kwa viongozi......Ney ameutoa wimbo huo hali ya kuwa anajua kuwa kuna chuki kubwa au mitazamo mibaya dhidi ya serikali hasa ukiangalia mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ndio maana amepata support kubwa nA hatakukamatwa kwake kulizua huzuni sana kwa wanajamii.....kwa kuwa ni kama vile msanii huyo ameyachukua maneno kutoka kwenye vinywa vyao.......lakini mwisho wa siku yanasimama kuwa ni maoni yake na ametumia uhuru wake wa kutoa maoni.......
Na msanii Diamond amefanya kama alichokifanya Ney wa Mitego....lakini yeye ametoa maoni yake kupitia wimbo wake lakini maoni hayo yamekwenda kinyume na utashi wa wengi hasa kwa wakati kama huu.....lakini kwa mtu aliyekomaa kifikra na kidemokrasia hawezi akatoka pozi kiasi cha kutukana kwani anajua kuaa tunaishi kwenye jamii yenye watu mchanganyiko na wenye mitazamo tofauti.....
Kama jamii hatuwezi kuwa na mitazamo inayofanana hata kwenye jambo linalofanana.....ndio maana pamoja na madudu ya CCM mpaka leo hii bado kuna watu ni wanachama wa kutupwa wa CCM na wako tayari kufa kwa ajili ya CCM....na wao wanapaswa kuheshimiwa kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo kama ambavyo wewe unavyoona una haki ya kuamua kuwa mwanachama wa chama chochote bila ya kubugudhiwa......
Bado nasisitiza kuwa msawazo kwenye jamii inatokana na wanajamii kuvumiliana na kukubaliana katika mambo mbalimbali ya kijamii......
Mungu ibariki Tanzania....
Jibu hoja ,huwa mnakosa point mnaanza kupepesa macho kama umekunywa amarula.. ..wewe ulichoshindwa kuelewa hapo nini haswa? Kama hujui kusoma unakuja huku kufanya nin....swine!!Rudia tena kusoma nilichokiandika....inawezekana hujaelewa nilichokiandika.....
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Jibu hoja ,huwa mnakosa point mnaanza kupepesa macho kama umekunywa amarula.. ..wewe ulichoshindwa kuelewa hapo nini haswa? Kama hujui kusoma unakuja huku kufanya nin....swine!!
Wewe umesema alichosema Mond ni mtazamo wake kam tu alivyotoa maon yake ney,Rudia tena kusoma nilichokiandika....inawezekana hujaelewa nilichokiandika.....
Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Mbona nyimbo ina tafsirika mzee, huu si wakati wa kukaa kimya kabisa ameharibuDiamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.