Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

niwazi kuwa art is subjective...yaani kila mmoja huja na interpretation yake jinsi alivyoelewa kazi ya sana....hilo liko wazi...tatizo la diamond ni undumilakuwili( neutrality) ila ney alichagua wapi pa kusimamia....diamond haijulikani either anapinga vyeti fake au anavisapoti..kwa muktaza huu lazima alaumiwe tuu hakuna namna
 
Rudia tena kusoma nilichokiandika....inawezekana hujaelewa nilichokiandika.....
Wewe umesema alichosema Mond ni mtazamo wake kam tu alivyotoa maon yake ney,
Ney ameihoj jamii kama mambo aliyoyataja yapo kwenye jamii ,jamii imeitkia yapo!!..

mond anadai anaitetea haki ya kusema tukae kimya is that logic to you?
 

Inategemea unautizama huo wimbo katika mlengo upi....!!!

Mimi huo wimbo japokuwa kuna mashairi yamenikwaza lakini nachukulia kama ni mtazamo au maoni ya diamond ameyatoa kupitia muziki wake.....

That's all.....
 
Ahaha labda tako kubwa,huo wimbo hauitaji cheti cha chekechea kuuelewa.
Wala sio kuwa haueleweki,unaeleweka lakin ni ujinga kutuambia tukae kimya tunapoona uozo kwenye jamii...kwa mfani angetekwa yeye watu wakae kimya ingekuwaje?
 
HaYa Ya hayati Komba na nYimbo Za hAYAt baba wa Taifa ....alitunga album kwa haraka sana nadhan hakuna record iliyowah mfikia
 
Inategemea unautizama huo wimbo katika mlengo upi....!!!

Mimi huo wimbo japokuwa kuna mashairi yamenikwaza lakini nachukulia kama ni mtazamo au maoni ya diamond ameyatoa kupitia muziki wake.....

That's all.....
that is what we call subjectivity contrary to objectivity hence you have fulfilled literary principle....but what the majority say remain to be the matter of discussion
 
Inategemea unautizama huo wimbo katika mlengo upi....!!!

Mimi huo wimbo japokuwa kuna mashairi yamenikwaza lakini nachukulia kama ni mtazamo au maoni ya diamond ameyatoa kupitia muziki wake.....

That's all.....
Message ya wimbo ni watu kuuona mambo kama kutekwa ,vyeti feki,studio kuvamiwa na wakae kimya.

Sasa mim najiuliza WCB IKIVAMIWA SIKU MOJA TUKAE KIMYA?


AKITEKWA MOND SIKU MOJA TUKAE KIMYA? ...

mond kwa hii nyimbo hakufkiria kiundani,aliona kama wanaopta matatizo wanaishi nchi nyingineya kujitakia na yeye yupo nchi nyingine..

Wewe umesema alichosema Mond ni mtazamo wake kam tu alivyotoa maon yake ney,
Ney ameihoj jamii kama mambo aliyoyataja yapo kwenye jamii ,jamii imeitkia yapo!!..

mond anadai anaitetea haki ya kusema tukae kimya is that logic to you?
 

Sawa ndugu uwe na wakati mwema....
 
Umeuelewa wimbo vizuri?
Sasa ww si useme hivyo vzr,nyie watz vipi?,mim ndie Nilietoa post;mawazo yangu juu ya wimbo nimeyatoa hapo nimeusema msimamo wangu juu ya Wimbo unaniuliza tena umeuelewa wimbo vzr?

Ni vzr vipi kunambia nikae kimya ninapoona matatizo yanawakumba wenzangu?
 
Sawa ndugu

Uwe na wakati mwema.....nadhani upo kwenye moody ya kubishana na mimi nipo kwa ajili ya kueleweshana.....
Go off,me nataka facts and points stak mtu kutetea "ukimya" watu wapotee anakuja msanii anawahimizza wananchi wakae kimyaa kwa maneno matamu tunaona
ok.
Wanajua kama wat huwa tunapenda tu melody,huwa hatufkirii wimbo unafundisha nn...ndio maana nyimbohata za kihind pamoja na kutoeleweka zinapendwa sana tz kwa sabb huwa ujumbe kwetu sio fact
 
Kila mtu amepewa kipaji chake na kila mtu anatumia kwa uwezo wake.....na tunategemeana, hao uliowataja wewe hivi unajua muziki ndo huwaliwaza na kutuluza msongo wa mawazo...kila mtu kwa nafasi yake hufanya dunia iende, MUNGU mwenyewe kwa mujibu wa biblia anapenda sana Muziki....we wachukie ila jua kupitia mziki na akili zao ndogo unazozusema wewe wanatengeneza pesa tena kukuzidi wewe
 
Habarini wakuu
Nimeshangaa sana nijuzi usiku diamond platnum alitoa nyimbo yake ya acha nikae kimya ambayo kiujumla Ali jaribu kuelezea mambo yanayo emdelea Tanzania na kajitahidi sana Ku balance lakini chakushangaza maneno machache tu yale NCHI imetikisika akati wakina NEY waliongea maneno mazito adi kukamatwa na hakuna kilicho tokea....
Ii INA mana gani au watu wanapenda sana kumfanya diamond asipotee kwenye ramani na azidi zungumziwa
 

Najiuliza tu,cuz yanayotrend sasahiv kwny social medias mmhhmm[emoji40] [emoji40] [emoji40] .namkubali san mond,ila napata ukakasi kwa haya yanayoexist saiv.
[HASHTAG]#Malipo[/HASHTAG] ni hapahapa duniani.
[HASHTAG]#time[/HASHTAG] will tell us.
"Mpk afe mtu"..
 
wewe pimbi subiri ageuzwe maji huyo almasi wenu! kaingia kchaka kbaya kwa gwajay
 
Hiyo kitu imetokea lini? Mbona kijijini kwetu hatujui? Kwani tuvitu tudogotudogo tukitokea weye unajua watu woootee wanajua? Very cheko!
 
Tatizo kajaribu kumparamia tembo, stori ikabadilika.
 
Aise kuishi shamba kuna tatizo sana, sasa nani anazungumzia huyo punda wa bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…