Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Kwani kunamtu alienda kumwomba msaada kwamba ameshindwa maisha? Akwende zake. Kilamtu ana namna yake kutafuta cent ndo mana wanaweza hata kununua nyimbo zake.Naona wengi wanatumia mioyo na hisia instead of brains kufikiri. Kausikilize tena ule wimbo. Diamond "amegoma kukaa kimya" na kaamua kutoka kwa style hii ya wimbo badala ya kwenda Insta kutoa povu lake.
Kaongelea vyeti vya Bashite, utekaji, Bunge kubakwa, Uvamizi Clouds na mwisho "kalia" wapi TZ inakwenda. Japo amepiga dongo kidogo kwa nini watu badala ya kutafuta maisha yao wao wapo busy kubishana kuhusu vyeti vya mtu.
Apo chacha, unajua jambo kama halijakukuta huwezi kuelewaDiamond ni mnafiki.,ask me why,nitajibu kwa kifupi
1.kama mama yake amemwambia akae kimya kwanini katunga wimbo??Huo ndio ukimya??
Nyerere ambaye ndiye aliwekwa kwa cover ya Huo wimbo alikuwa hakai kimya,alikuwa anaonya,kukemea na Tena akawaencourage vijana wawe na ujasiri WA kuhoji,,Leo hii diamond anasema tukae kimya.,,ubashite huu.
Pia,ameonesha kukerwa na swala la kudiscuss vyeti vya bashite!!,hivyo hakupenda wimbo WA naytruboy!!!,hivyo alitaka wasanii wote wakae kimya!!!!wasihoji,,huyu kijana anawaangusha watz,,sisi tunahoji alipo Roma,wasanii wenzake wamekusanyika kutia juhudi ili mwenzao apatikane,yeye itakuwa alikuwa anarecord(hakutokea pale)
Kwahiyo tiffa akipotelea pasipofahamika napo atakaa kimya?au ni kwa sababu hayajamkuta yeye,??
Nilikuwa fans wake ila kwa huu wimbo kaniboa kweli, wasanii wenzake wanalia lenyewe linakuja na swaga za kijingaDiamond ni mnafiki.,ask me why,nitajibu kwa kifupi
1.kama mama yake amemwambia akae kimya kwanini katunga wimbo??Huo ndio ukimya??
Nyerere ambaye ndiye aliwekwa kwa cover ya Huo wimbo alikuwa hakai kimya,alikuwa anaonya,kukemea na Tena akawaencourage vijana wawe na ujasiri WA kuhoji,,Leo hii diamond anasema tukae kimya.,,ubashite huu.
Pia,ameonesha kukerwa na swala la kudiscuss vyeti vya bashite!!,hivyo hakupenda wimbo WA naytruboy!!!,hivyo alitaka wasanii wote wakae kimya!!!!wasihoji,,huyu kijana anawaangusha watz,,sisi tunahoji alipo Roma,wasanii wenzake wamekusanyika kutia juhudi ili mwenzao apatikane,yeye itakuwa alikuwa anarecord(hakutokea pale)
Kwahiyo tiffa akipotelea pasipofahamika napo atakaa kimya?au ni kwa sababu hayajamkuta yeye,??
sio ule aloimba "kama nikifa kesho" kweli?Naona kaboresha wimbo wa harmonize wa matatizo
unakumbuka remix ya Ccm number one? au umeshaanza kujisahaulishaDiamond ni msanii halisi si msanii wa matukio na wakisiasa.
lumumba au?Ni kujpendekeza tu hamna jngne.
Huo wimbo ndio walikua wanaujadili na Makonda juzi?
Maamuzi ya kuvamia Radio stations za watu?Wewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Kweli kabisa.! Muache ajitoe akili tu..!Hata Clouds walikuaga hivyo hivyo lakini yalivyowafika ndo wakarudi kwa wananchi.
Bought by GSM owned by Bashitenaona kaamua kua neutral kaogopa ku side na upande wowote..
[HASHTAG]#freeromamkatoliki[/HASHTAG]
Dah..Kuna watu makauzu.roma ametekwa na wavuta bange wenzake acha ujinga wewe
Diamond anamaanisha huyo Mange ndiyo kamtuma Bashite avamie Clouds media na silaha nzito za vita kulazimisha video ya kumchafua Gwajima irushwe Clouds TV?Kuna sehemu anasema, "Makonda na Gwajima wanazozana kufatilia kumbe ni binti mmoja mtandaoni"
I hope sijakosea huo mstari. Huyu binti mwenyewe ndio yule aliyeyaanika masakata yote ya Bashite?