swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Domo bana GSM ndio mabwana zake Kwahiyo lzm afuate masharti ya bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angetumia fasihi, yey si msaniiUnataka aimbe wimbo wenu wa kipuuzi Makonda amwachie Roma wakati hajamwona akimteka? tujifunze kuwa tunahifadhi maneno.
Ulitaka akae upande gani?
Limbwata la WCB kali sanaNimesa comment zenu wengi naona uchambuzi wa sanaa umewapita kushoto,jaribuni kuchukua muda wenu msikilize walau mara mbili mara tatu mtamuelewa sana diamond,mama ake kamwambia akae kimya...je ukisikiliza hiyo nyimbi mmeuona huo ukimya? Kaongelea masakata ya vyeti vya bashite, kaongelea kuhusu nape,roma na bunge...mwishoni akawa anaisikitikia tanzania wapi tunakoenda....sanaa inahitaji mtu utuluze akili sana ili uielewe
Bwana sijui bibi gonzo, soma alama za nyakati....wavuta bangi?!wamemteka ili iwaje?!wachukue misokoto iliobaki?!bashite anataka kuhit katika media....hapo tu, taratibu wahariri watalegeza kama wakiingia mtego wake...pale panafanywa ni mtakujaroma ametekwa na wavuta bange wenzake acha ujinga wewe
Limbwata la WCB kali kweliUnatakiwa ujue kutafsiri ujumbe through wimbo mzima na sio neno moja.....kwa ujumla anakemea mambo yote yanayoendelea Tanzania km taifa tunaenda wapi? tumepoteza upendo na utaifa.tushikamane tuijenge Tanzania.
Mfate mwalimu wako wa kiswahili akufundishe kazi ya sanaa popoma wewe!
Mbona nawe unataka kumuamulia mawazo yake juu ya wimbo. Kama upo fair, kwanini unaona mawazo yake ni makosa? Unajifanya upo neutral wakati unaonyesha bias waziwazi.Wewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Kwani tiffa mtoto wake,? Atakaa kimya tuDiamond ni mnafiki.,ask me why,nitajibu kwa kifupi
1.kama mama yake amemwambia akae kimya kwanini katunga wimbo??Huo ndio ukimya??
Nyerere ambaye ndiye aliwekwa kwa cover ya Huo wimbo alikuwa hakai kimya,alikuwa anaonya,kukemea na Tena akawaencourage vijana wawe na ujasiri WA kuhoji,,Leo hii diamond anasema tukae kimya.,,ubashite huu.
Pia,ameonesha kukerwa na swala la kudiscuss vyeti vya bashite!!,hivyo hakupenda wimbo WA naytruboy!!!,hivyo alitaka wasanii wote wakae kimya!!!!wasihoji,,huyu kijana anawaangusha watz,,sisi tunahoji alipo Roma,wasanii wenzake wamekusanyika kutia juhudi ili mwenzao apatikane,yeye itakuwa alikuwa anarecord(hakutokea pale)
Kwahiyo tiffa akipotelea pasipofahamika napo atakaa kimya?au ni kwa sababu hayajamkuta yeye,??
Halafu nahisi wote shule walipata Zero so 0+0=0+Diamond akili yake ni kama ya Bashite, walipoakaa kushauriana upuuzi walitaraji watanzanzia ni wapumbavu kama wao.Hiki sio kipindi cha kutuletea sinema za kitoto.Yeye na Tale nadhani wanataka kuziona hasira za Watanganyika.
Diamond ameamua kujipaka kinyesi anuke pamoja na Bashite wake.
Jina la huo wimbo tu Mama kaniambia nikae kimya unabeba ujumbe mzito sana ambayo inaonyesha hofu iliyotanda nchi nzima sasa kufuatia vitisho mbali mbali kwa Watanzania kutoka kwenye utawala huu.
Kumbuka hata kujadili uwepo wa njaa kulitolewa vitisho mtu anaweza kuishia lupango. Yule Butiku alitoa kauli kwamba Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania na kinana naye juzi kazungumza katika mistari inayoshabihiana sana na kauli ya Butiku.
Kuna wingu zito nchini ambalo limeondoa furaha na amani ya Watanzania walio wengi nchini.
Limbwata la WCB kali sanaWewe Ndio mpuuziii..... Tena yawezekana sio Mtanzania wewe labda ni mkenya umekuja kutuvuruga tu
KajitakiaKatika watu wanaopitia wakati mgumu Chibu nae ni mmoja wapo.