Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Kuna wasanii sijui wanaakili gani mkuu, nimeshangaa eti mtu kama nash pia anasema hii ni danganya toto? eti akili za abunuasi kweli?
Kuna faida gani kufanya kiki za kipuuzi kama hizi,
ndo maana namkubali sana nikki mbishi mbali na beef aliyonayo na roma hakuwa nyuma kuonesha masikitiko yake
Hii issue inaweza ikawa ni trick, kwa kuwa makonda ametangaza kwa umma kuwa roma atapatikana kabla ya jumatatu... sasa what it make serious think ?. hio confidance ya kusema jumatatu katoa wapi kwanini isiwe jana au kesho hii game ya watoto
 
Katika siku aliiyo nifanya nimchukie huyu jamaa ni leo haya ndo matatizo ya kuwa maarufu bila kuwa na shule kichwani najuta kuwa shabik yake kanikera to the maximum
 
Hamna cha timu kiba!! Hiyo ni very realistic kuwa anamsema Mange. Iko wazi sana hiyo haihitaji shule kung'amua
Muache amchane tu huyo Mangi Kimavi,yeye anachochea tu chuki akiwa nje ya nchi,tukianza kutifuana hapa yeye huko yuko salama,kama kweli anauchungu na hii nchi arudi hapa tuendeleze mapambano pamoja tukiwa ndani ya boti moja ikizama tuzame wote na ikivuka tuvuke wote!
 
Diamond lazima atatukwanwa sana kuhusu huu wimbo sababu kazungumza ukweli ila angekuwa mnafki kama mwafulani lazima angeshangiliwa kama mwafulani mtafuta kick
 
HUO HAPO ILA NI BORA ANGEKAA KIMYA.
Nchi haishughuliki na mambo ya kijamii, badala yake media na serikali ina deal with unprofitable issues kwa watanzania wachini. Hii ngoma inataka kuwa headline na kumbeza kiongozi m'bovu anayetawala powerful mind people.
 
Wewe ndio unasema juu ya uoga.

Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.

Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.

Amewapa ukweli na maisha ni yake.

Makonda oyeeeeee
Safi sana si lazima kila mtu atake mnavyotaka nyie diamond ana uhuru wa kuamua vile mtizamo wake uvyomtuma.hata kama anamfagilia makonda na magufuli ni haki yake kimsingi
 
Huo wimbo hautapigwa wala kutajwa katika vituo vifuatavyo
Clouds Media
E- FM
ITV na Redio One
EATV
Labda utasikika kwa muda vituo vifuatavyo
Uhuru Fm
TBC
 
Muache amchane tu huyo Mangi Kimavi,yeye anachochea tu chuki akiwa nje ya nchi,tukianza kutifuana hapa yeye huko yuko salama,kama kweli anauchungu na hii nchi arudi hapa tuendeleze mapambano pamoja tukiwa ndani ya boti moja ikizama tuzame wote na ikivuka tuvuke wote!
Kwani Mange Kimambi huwa anaongea uongo. Tatizo wabongo huwa hatupendi ukweli. Mnapenda kupindishapindisha. Mange Kimambi huwa namfuatilia sana, Mara zote huwa anaongea ukweli. Na ukitaka kuchukiwa bongo na kupelekwa central haraka ongea ukweli!!!
 
Kiki ipi anatafuta diamond hapa Tz?? Aliitafuta 2008 na akaipata huko huko 2008.
Yeye Dai kama ana roho nzuri Si aende akamsaidie baba yake yupo pale magomeni kagera miguu imemvimba anateseka anakosa hata msaada hela ya kula
 
Back
Top Bottom