Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Wanaopigania uhuru wa maoni na kujieleza...wao wenyewe ndio wa kwanza kutoheshimu maoni ya wengine yanayokinzana na mitazamo yao.......

Kwao maoni yanayofaa ni yale yanayopendeza masikioni mwao na mioyoni mwao......hawako tayari kusikia maoni ya wengine yanayokinzana na fikra zao.....

Alafu watu hao hao wanajiita ni wanaharakati wakipigania uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.........

Mimi binafsi nachukulia alichozungumzia Msanii Diamond ni maoni yake au mtazamo wake kama ambavyo mwengine angetoa maoni yake na watu wangeshangilia na kumuita shujaa.......

Only in Tanzania......

Mkuu Kuna Freedom of Speech na Freedom of Abuse, Hii Nafasi Aliyochukua Diamond Ni Freedom of Abuse??

Diamond Ameonyesha Mapungufu Makubwa Kwenye Moral Principles ni Sawa na Serikali ya Magufuli Kula Pesa za Michango ya Maafa

Kumchukua Mtu Mateka Ambaye Ana Mtoto, Mke na Familia Inayomtegemea Halafu Mtu Anachukulia Hiyo Kama Opportunity ya Kutengeneza Pesa.

Kingine Diamond si Mtu Mdogo na Asimamie Kila Kilicho Sawa Kwenye Jamii Asifungamani na Upande Wowote Ila Asipokuwa Makini Ataanguka Trust Me Kwenye Hili.

Makonda Amewajeruhi Clouds na Kubali au Kataa na Ruge Kwenye Entertainment Industry Inchini ni KPI Watu Kama Hawa Diamond Anatakiwa Awe Nao Karibu Sana na Siyo Wanasiasa.

La Mwisho Babu Tale Kama Alivyoweza Kuizamisha TipTop Basi Asipokuwa Makini na Yeye Atakuwa Kwenye Vitabu Vya Kumbukumbu Soon.

Amekosea Sana na Anatakiwa Aombe Msamaha, Hivyo Kama Kuna Mabaya Yanatokea Watu Wasiongee Wakae Kimya Tu Sababu Hawana Pesa?

Anakubali Kutumika na Makonda na Kufanya Vitu vya Kipumbavu Vitamletea Hasara Kubwa Sana
 
Wewe umenena ukweli na uko wazi,mim nishabiki wa diamond mkubwa tu..lakini kwa hili kanifanya nimuone hajafikria kesho yake.

Amejichukulia kirahisi tofauti na hadhi yake..nadhani kuna. Watu hawaelewi tunachokisema lakini umenena ukweli pengine kwa lugha rahisi na nyepesi zaidi.

Watu wanatanguliza mahaba na kushindwa kusema ukweli pale inapobidi kwa hofu ya kuharibu wakijua ndio kujenga na hili ni tatizo kwa watz tulio wengi..

Kwa wimbo huu ameteleza sana!
 
Bishop Gwajima Atategua Kitendawili Hiki Kesho
 
kwanza kabisa ni seme. kwa niaba ya familia yngu tunashukuru kupatikana kwa roma...ila nina maono ambato yanaweza kuwa kweli au si kweli..
Nyimbo mpya ya diamond imetoka jana 7/04/2017... lakin just imagine ..roma kakamatwa tarehe 6/06/017.. na kwente mistari yake anasema "juzi anasikia na roma amekamatwa "..means nyimbo ameitunga siku ya jana tarehe hyo hyo 07/04/017.. je ita possble kufikiria mistari,kuiandika na kuirecord na kuipeleke kwenye mitandao na redion ndani ya siku moja...??? binafsi siamin kwenye hlo ata ungekuwa na intellegencia kiasi gan sio kufanya vyote hvyo kwa siku..
what i thnk there is possbility ya diamond kujua kuna mchezo utatokea kwa roma xo.. akatunga nyimbo mapema tu kwa ajili ya tukio hlo...
lakin hayo ni maoni yangu yanaweza yasiwe kweli au ya kawa kweli... asanteni...

Issue iko hivi wewe: Ney kukamatwa----->>>>Madaraka ya Kulevya(malikia wa nguvu)------>>>>Nitoe kitu nini(Roma)??????------>>>>Kukamatwa(Roma).
 
Mkuu Kuna Freedom of Speech na Freedom of Abuse, Hii Nafasi Aliyochukua Diamond Ni Freedom of Abuse??

Diamond Ameonyesha Mapungufu Makubwa Kwenye Moral Principles ni Sawa na Serikali ya Magufuli Kula Pesa za Michango ya Maafa

Kumchukua Mtu Mateka Ambaye Ana Mtoto, Mke na Familia Inayomtegemea Halafu Mtu Anachukulia Hiyo Kama Opportunity ya Kutengeneza Pesa.

Kingine Diamond si Mtu Mdogo na Asimamie Kila Kilicho Sawa Kwenye Jamii Asifungamani na Upande Wowote Ila Asipokuwa Makini Ataanguka Trust Me Kwenye Hili.

Makonda Amewajeruhi Clouds na Kubali au Kataa na Ruge Kwenye Entertainment Industry Inchini ni KPI Watu Kama Hawa Diamond Anatakiwa Awe Nao Karibu Sana na Siyo Wanasiasa.

La Mwisho Babu Tale Kama Alivyoweza Kuizamisha TipTop Basi Asipokuwa Makini na Yeye Atakuwa Kwenye Vitabu Vya Kumbukumbu Soon.

Amekosea Sana na Anatakiwa Aombe Msamaha, Hivyo Kama Kuna Mabaya Yanatokea Watu Wasiongee Wakae Kimya Tu Sababu Hawana Pesa?

Anakubali Kutumika na Makonda na Kufanya Vitu vya Kipumbavu Vitamletea Hasara Kubwa Sana

Na maoni aliyoyatoa Ney wa Mitego kwenye wimbo wake ni aina gani ya Freedom....!!??
 
IMG_20170408_174217.jpg
IMG_20170408_174217.jpg
 
Mtu huyu alisshiriki kampeni za CCM watu wakasema atapoteza mashabiki. Lakini ameendelea kung'ara. Kwa kweli Mimi sina imani naye. Very fortunately sijawahi kuwa fun wake.
 
akiwa kama msanii yupo sahihi kuimba current issues lakini hajaangalia na upepo unaelekea wapi.ila kwa huu wimbo utamfundisha diamond kwamba yeye n nan alafu baba askof angemuacha tu hat asingemsema kesho coz hain maana sana kwani hajatajwa kwa ubaya
 
kwanza kabisa ni seme. kwa niaba ya familia yngu tunashukuru kupatikana kwa roma...ila nina maono ambato yanaweza kuwa kweli au si kweli..
Nyimbo mpya ya diamond imetoka jana 7/04/2017... lakin just imagine ..roma kakamatwa tarehe 6/06/017.. na kwente mistari yake anasema "juzi anasikia na roma amekamatwa "..means nyimbo ameitunga siku ya jana tarehe hyo hyo 07/04/017.. je ita possble kufikiria mistari,kuiandika na kuirecord na kuipeleke kwenye mitandao na redion ndani ya siku moja...??? binafsi siamin kwenye hlo ata ungekuwa na intellegencia kiasi gan sio kufanya vyote hvyo kwa siku..
what i thnk there is possbility ya diamond kujua kuna mchezo utatokea kwa roma xo.. akatunga nyimbo mapema tu kwa ajili ya tukio hlo...
lakin hayo ni maoni yangu yanaweza yasiwe kweli au ya kawa kweli... asanteni...
Kwa uandishi huu naona kabisa mtoa mada hayupo serious ila laiti angelikuwa serious, nadhani hata hili swala la DIAMOND kuachia wimbo lisingemshangaza.
 
Wacha nifunge bakuli langu.. Nikojoe nikalale
 
Back
Top Bottom