Kuanzia ule wa mdogo mdogo yaani ndio anazidi kujichimbia kusikojulikana.
Mi naona hakuna jinsi zaidi ya kwenda kuomba urafiki na Mr Nice kwasababu huyu ndiye atakuwa rafiki wa kweli wa shida na raha.
Kutoa nyimbo hovyohovyo ni dalili za msanii kufulia,Nadhani anapima upepo.Kuanzia ule wa mdogo mdogo yaani ndio anazidi kujichimbia kusikojulikana.
Mi naona hakuna jinsi zaidi ya kwenda kuomba urafiki na Mr Nice kwasababu huyu ndiye atakuwa rafiki wa kweli wa shida na raha.
Kutoa nyimbo hovyohovyo ni dalili za msanii kufulia,Nadhani anapima upepo.
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie
Jaman mbona songi la ukweli acheni izo
Nishainunua lakini kuiweka hapa sijuiii
acha kubwabwaja hapa nyimbo hatarrrr kabisa hiii.....hutaki acha kasikilize mwanaaa
Wana wivu haooo haoooooo wana wivu haoiooooooooooooi mwendawazimu kaingiajeee! !!
Lambeni ndimu aiseeee
Wana wivu haooo haoooooo wana wivu haoiooooooooooooi mwendawazimu kaingiajeee! !!
Lambeni ndimu aiseeee
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie
Lazima wajue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha.....
hahahaahaahahahaaa......
kwani kakuimbia wewe??????????
Hahaaa dah wewe jamaa ni mtata sana ....
Yaani ma-pro wake wanatumia nguvu nyingi kuutangaza wimbo na kuutafutia skendo hoo sijui kipande kimevuja! Lakini lisongi lenye ni lichafu sijapata kuona.
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie