Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Kuanzia ule wa mdogo mdogo yaani ndio anazidi kujichimbia kusikojulikana.
Mi naona hakuna jinsi zaidi ya kwenda kuomba urafiki na Mr Nice kwasababu huyu ndiye atakuwa rafiki wa kweli wa shida na raha.

Hahaaa dah wewe jamaa ni mtata sana ....
 
Kuanzia ule wa mdogo mdogo yaani ndio anazidi kujichimbia kusikojulikana.
Mi naona hakuna jinsi zaidi ya kwenda kuomba urafiki na Mr Nice kwasababu huyu ndiye atakuwa rafiki wa kweli wa shida na raha.
Kutoa nyimbo hovyohovyo ni dalili za msanii kufulia,Nadhani anapima upepo.
 
acha kubwabwaja hapa nyimbo hatarrrr kabisa hiii.....hutaki acha kasikilize mwanaaa
 
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie

EEH eeh tulivyokuwa tukirushwa roho na kina mwafulani humu jana nikasema hyo kesho tutakuwa hatipumui kumbe uharo, team ndomo waache sifa za kijinga nfyuuu
 
Wana wivu haooo haoooooo wana wivu haoiooooooooooooi mwendawazimu kaingiajeee! !!
Lambeni ndimu aiseeee
 
najaribu kuu upload hapa jukwaani lakn sielewi kwann Uploading inafel Mkuu Viol we mtaalam zaidi em iweke nimekuita kwenye uzi wangu kule bado hujaja tyuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie

Yaani ma-pro wake wanatumia nguvu nyingi kuutangaza wimbo na kuutafutia skendo hoo sijui kipande kimevuja! Lakini lisongi lenye ni lichafu sijapata kuona.
 
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie

Mi nimeshindwa kabisa kuumalizia ni kero tupu hamna jipya.
 
Back
Top Bottom