Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ametumia wote ili kuonyesha kwamba c mbaguzi wa rangi
Kwani wimbo unahusu ubaguzi Wa rangi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametumia wote ili kuonyesha kwamba c mbaguzi wa rangi
Tatizo so watu wacheze au waupende yani umekua hauna ka serious kwenye kutengenezewa beat umepoa sana
Tatizo so watu wacheze au waupende yani umekua hauna ka serious kwenye kutengenezewa beat umepoa sana
Kwani wimbo unahusu ubaguzi Wa rangi??
Kwa maelezo yako inaonyesha kwamba producer ndio aliyemwangusha.
Sasa hivi watu wataanza kutangaza kuibiwa!!
Watakwambia anahujumiwa na maproducer ili wamshushe, yani mashabiki wa huyu mswahili wa Tandale ni maboya haswaa.
Sasa ww c unalala mika sana why katumia wazungu? Inaonyesha unaxhembexhembe ya ubaguzi.
Watakwambia anahujumiwa na maproducer ili wamshushe, yani mashabiki wa huyu mswahili wa Tandale ni maboya haswaa.
Hizi kelele zako zimenifanya niingie YouTube kuucheki...
kwakweli binafsi sijaona cha ajabu na video haina uhalisia kabisa....
Nani kamshauri ahangaike na wazungu?
Pitia soda pale kwa mangi kumbe unakimudu eeh
Mashabiki na msanii wao ni too low....
Sioni wanachoshabikia kwenye hiyo video ni nini hasa.....
Jamaa kakulia tandale analazimisha nyimbo zenye mahadhi ya kizungu zinamshinda....
Watakwambia anahujumiwa na maproducer ili wamshushe, yani mashabiki wa huyu mswahili wa Tandale ni maboya haswaa.