Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Mashabiki na msanii wao ni too low....

Sioni wanachoshabikia kwenye hiyo video ni nini hasa.....

Jamaa kakulia tandale analazimisha nyimbo zenye mahadhi ya kizungu zinamshinda....

Hahahaaa mkuu leo umenifurahisha sana
 
Dai yupo levo za.juuu wema alie tu

Angekua levo za juu asinge aza lia lia hapa.. Wema alirudi kulipa kisasi.. Sura yake mtaratibu,,
Mwenye macho ya aibu,
Kumsahau najaribu, ila namkumbuka sana,

Umbo lake mahabibu,
Ni maradhi alonitibu.... Hahaha chibu the boss lady hajakutibu..

Pole kaka mapenzi ndivyo yalivyo
 
Aliyemwabia ukiweka wazungu kwenye video ndo inakuwa nzuri ni nani?
 
Dai anampenda Wema wakiachana hata mwaka hatofika hana washabiki kama wema bora arudi nyumbani
 
Mwanzoni mwanzoni baada ya ile kitorondo kuvuja nilikua nauchukia sana ila daah siku moja nikarushiwa ambao uko ftesh katika kufua fua nguo ikatokea tu aisee nikaanza kuuusikiliza fresh ebana niliuelewa Africa nzima, club una bang hataree daah diamond ni tatizo jingine...mpaka kijijini huku nilipo daaahh
 
Nyimbo nzuri,video kali lazima wakaeeee mwaka huuu waoooo heeeeeeeeeee wapiiiiiiiiii team Kiba video ya mwana ipo rehani auu!!!
Mwanza salama alhamdulilah

Mwaka huu watajua tofauti ya x na kuzidisha...ni chechee
 
Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!

Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!

Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!
 
Back
Top Bottom