Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Dai yupo levo za.juuu wema alie tu

hawa jamaa wanaigiza... kama ume notice, video ya wimbo huu ilishutiwa kipindi kile mdogomdogo inashutiwa...ila ikawekwa stoo.... Teaser ya huu wimbo Diamond aliiachia instagram wayback before hawajaachana na wema..(nakumbuka alisema huu wimbo hauko kwenye orodha ya nyimbo zinazo toka mwaka huu)
to my surprise, wameachana, wimbo umetoka, na matukio ni kama yaliyomo kwenye video.......hapo ndo ujue wanatuchezea akili..!!
 
Diamond na Wema penzi lao ni la rohoni kila mmoja anampenda mwenzie kwa rorhoni na ni nadra sana kupata couple ya namna hii. Wengi wameshabikia sijui Zari. Jamani kama kweli Dai anampenda Zari alishindwaje kuteremka kwenye gari pale Aiport na kumsindikiza? eti aliogopa mapaarazi , mapenzi ya kweli hauwezi ogopa mapaparazi. Wema jiweke ndani yaviatu vya Dai.Umemnunulia zawadi mpenzi wako halafu anakuja mwinine aananunua zawadi kama uliyounua ungejisikiaje.Nawe Diamond unajichelewesha nini fanya maamuzi hata kama Magumu!

Nimekaonea huruma ka MTU ka Dinazarde uwiiiiiii tena diamond alifanya akijua yeye ndio zawadi yake itakuwa gumzo maskini weee inaumaaaaaaa. Kwa hasira naskia alimwambia Dalali Mwanamke aitangazie soko ila naona ameghairi kwani sijaiona sokoni. Hehehe nimebanwa na tumbo la kuendesha ghafla kwa maumivu ya dayamondi
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa wanaigiza... kama ume notice, video ya wimbo huu ilishutiwa kipindi kile mdogomdogo inashutiwa...ila ikawekwa stoo.... Teaser ya huu wimbo Diamond aliiachia instagram wayback before hawajaachana na wema..(nakumbuka alisema huu wimbo hauko kwenye orodha ya nyimbo zinazo toka mwaka huu)
to my surprise, wameachana, wimbo umetoka, na matukio ni kama yaliyomo kwenye video.......hapo ndo ujue wanatuchezea akili..!!
Tuko sawa mkuu, kuna sehemu anasema hasa nyota yake ataipata wapi.?

Hapa wanacheza na mashabiki wanaosema anatumia nyota ya wema, ukweli ni kwamba kila kitu kuhusu diamond na wema ni mikakati ya kibiashara.
 
Sura yake mtaratibu, mwenye macho ya aibu. Msahau majaribu ila namkumbuka sanaa
Umbo lake mahabibu, kwenye maradhi alinitibu, siri yangu kaharibu. Bado namkumbuka sanaa

Alienifanya silali jua kali nimtafute tukale, lakini hata hakujali mentali akatekwa na wale....X2

Kiitikio...

Nitampata wapi kama yule nampendaga sana X2
Nitampata wapi kama yule ananipendaga sana x2

Beti 2

ai nyota, nyota ndio tatizo langux2, ai nyota mpaka nalia peke yangu
ai nyota, nyota ndio shida yangu.X2
Nyota wamenizidi wenzangu,

alidanganywa na wale,wenye pesa nyumba gari, mi kapuku hakujali akanikimbia x2

alonifanya silali jua kali nimtafute tukale lakini wala hakujali mentali akatekwa na wale.

Kiitikio
........................................
.........................
Bado ananijia ndotoni,ila nikiamka simwoni.x2
Bado ananijia nikilala, haki ya Mungu sio masihara. X2
......


Hii ni sauti ya Rais iliyomshindaga ibilisi, kwa mwanadamu sio rais,.
Na umwambie
lazima ujue kutofautisha kati ya jumlisha na msalaba, x na zidisha.x2

Bado namuota nikilala haki ya Mungu sio masihara

cc. Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Nimeona highlights za hiyo chupa. Jamaa kweli anakuwa kimuziki. Ni dhahiri anaonyesha kwa vitendo kwamba katoka point 'A' kaenda 'B' na sasahivi yupo point 'C'. Nampongeza.
 
Kijana anafanya mziki kazi, sio kufurahisha watu.
 
Back
Top Bottom