serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
video nimeipenda
the boy never disappoints...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
video nimeipenda
Dai anampenda Wema wakiachana hata mwaka hatofika hana washabiki kama wema bora arudi nyumbani
Dai yupo levo za.juuu wema alie tu
Dai yupo levo za.juuu wema alie tu
Hahahaaaa chezea BMW wewe,murrano tupa kule au ampe dada yake aendee kiliniki
Diamond na Wema penzi lao ni la rohoni kila mmoja anampenda mwenzie kwa rorhoni na ni nadra sana kupata couple ya namna hii. Wengi wameshabikia sijui Zari. Jamani kama kweli Dai anampenda Zari alishindwaje kuteremka kwenye gari pale Aiport na kumsindikiza? eti aliogopa mapaarazi , mapenzi ya kweli hauwezi ogopa mapaparazi. Wema jiweke ndani yaviatu vya Dai.Umemnunulia zawadi mpenzi wako halafu anakuja mwinine aananunua zawadi kama uliyounua ungejisikiaje.Nawe Diamond unajichelewesha nini fanya maamuzi hata kama Magumu!
Tuko sawa mkuu, kuna sehemu anasema hasa nyota yake ataipata wapi.?hawa jamaa wanaigiza... kama ume notice, video ya wimbo huu ilishutiwa kipindi kile mdogomdogo inashutiwa...ila ikawekwa stoo.... Teaser ya huu wimbo Diamond aliiachia instagram wayback before hawajaachana na wema..(nakumbuka alisema huu wimbo hauko kwenye orodha ya nyimbo zinazo toka mwaka huu)
to my surprise, wameachana, wimbo umetoka, na matukio ni kama yaliyomo kwenye video.......hapo ndo ujue wanatuchezea akili..!!
He is the game.
Huu wimbo wake mpya sijauelewa...... maybe nikiendelea kuusikiliza nitauelewa vizuri
Huu wimbo wake mpya sijauelewa...... maybe nikiendelea kuusikiliza nitauelewa vizuri
Ni PM nkuelekeze, mamaa
Unielekeze nini baba.............