Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Najutia kura yangu nilishapiga mapema.
 

Embu punguza mihemko, ushabiki vitumbua unakunyima hata uwezo wa kufikiri, sasa kwa taarifa tu,tuzo za KTMA ndio tuzo pekee ambazo washindi wake wanapatikana kwa kutegemea kura kwa asilimia mia, kamati nadhani kazi yao kubwa ni kuteuwa watangaza tuzo, na ndio maana watu wengi sana huzipotezea na baadhi ya wasanii wanaojitambua hawazishobokei au wamejitoa kabisa,sasa usijeleta u ktma kwenye tuzo za nje,kama wadau waliotangulia aalivyosema ni 30% tu yakura inachangia msanii kupata tuzo, 70% judges huangalia vigezo vingine,vya kiutendaji zaidi, turudi kwenye kura kimataifa wanachozingatia sio wingi wa kura tuu, Bali je!!??.hizo kura zimetoka nchi ngapi hata zikufanye kuwa mshindi??? So ukae ukijua msanii anaweza kuwa na kura billion na asishinde hata kwenye kipelengele cha kura pekee,kwa nini? Msanii anaweza akawa na kura nyingi lakini kura zote zimetoka nchi moja,na mwingine akawa na kura chache lakini zimetoka mataifa mbalimbali,so kuwa msanii bora wa africa ni pamoja na kukubalika na kupigiwa kura na wanaafrica wote zaidi ya wengine.
So naomba tu mashabiki wenzangu wa kiba na diamond ujiandae kisaikologia na muwe wepesi kuelewa, pamoja na kukeshea key bord zenu kuvote from the first day dont get surprised wakakosa tuzo coz nina uhakika 99%ya kura zitakuwa ni za watz tuu, na akitokea mmojawapo akipata dont think itakuwa ni kura za watz tu itakuwa amepigiwa kura na mataifa mengine zaidi ya wengine.
Back to your point inawezekana kabisa diamond alipigiwa kuwa nyingi sana na watz mpaka system ikadata kweli lakini hakupigiwa na mataifa mengi kama eddy kenzo, kwa sababu kura za taifa moja haziwezi mtawaza msanii kuitwa bora kwa africa nzima.
USHAURI
Pigeni kura kwa kiasi msave muda wa kufanya kazi za maendeleo kukesha kwenye key bord unapiga kura hasa kwenye tuzo za kimataifa prepare your self for disappointment, (wale wenzangu na mie mnaokujaga kujivuna huku leo nimepiga kura elfu moja,na bado naendelea ni charge tu imeisha ngoja nicharge nianze upya,jiandae kuumia) kama wewe ni shabiki mkereketwa sana wa kiba au mond save that energy for ktma kama hawatabadilisha mfumo
 
Mm huwa ciilewi kabisa watu wanakesha wanampigia kura na ikitokea kapata tuzo anakuja anajivuna et yy mdo boara kawasahau haga waliomshindisha
Na kuna ck nikashangaa sana katoa SA anategemea et serikali itampokeaa na alipokuta patupu anasema mbona timu ya taifa ikilrudi kuwakilosha inch huwa knapokewa na serikali iweje mm nimetoka kuwakilisha gaifa nicpokolewe??
Hiv mond unaujua mpira vzur ww je unajua ni nguvu kias gan wachezaji wanatumia ili kuwez kupata matokeo uwanjani iweje ww umekaa tu kochini nakupiga kura halafu unajifananaisha na timu ya mpira wa taifa
 
Mbona hamkuanzisha uzi hii tuzo aloitwaa UGANDA juzi?
Mnaonekana mafukara tu, njaa zenu mwahamisha hasira kwa wengine.

Hatuna muda wa kuongelea tuzo local kama ile, ukitaka hata wewe unaweza kufungulia thread tukachangia
 

Mkuu hata KTMA huwa kuna asilimia ya kura za majudges, ofcoz kwa sasa nimesimama sipigi kura kwa msanii yeyote yule japo mwanzo nilikuwa nafanya hivyo, hii yote ni kutokana na ujinga wao hasa mondy na kiba kwa kujihusisha na siasa mandazi.
 
 

Basi ccm wampigie kura daimondi
 
Mkuu hata KTMA huwa kuna asilimia ya kura za majudges, ofcoz kwa sasa nimesimama sipigi kura kwa msanii yeyote yule japo mwanzo nilikuwa nafanya hivyo, hii yote ni kutokana na ujinga wao hasa mondy na kiba kwa kujihusisha na siasa mandazi.

Adhabu kali umetoa lakini nategemea baada ya october 25 utasahau yote na utarejesha mapenzi.
 
Ukitaka kujua wasanii wetu akili zao ni ndogo bc ngoja kifike kipindi cha uchaguzi....wasanii kuishabikia cc em ni sawa na mwanaume kumsifia bwana wa zamani wa demu wako.....!!
 
Shule inasaidia dogo kichwani hamna kitu kabisa yani yule kuanzia yy mpaka management sasa kwa mfano video ya yamoto band mpya ndo nimejua shule shule tu#arudi darasani mr misifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…