Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Mbona hajam tag huyo mtu? Je tuzo za naija alipata? Hahahaaaa

Tuzo za naija zipo nyingi hajasema zipi hata afrima ni za naija
 
Attachments

  • 1441698902276.jpg
    1441698902276.jpg
    53.1 KB · Views: 151
Yeyote anaesupot ccm..hastahili supot yangu ya aina yoyote
 
Kwani wwe unajua tuzo zipi alikosa.
Alizo jidai kupigilia na suti hahqhaaaaa aibuuuuu

Pole diamond hakuenda tuzo za NEA alikuwa Mauritius na izo suti alivaa alipoenda Nigeria last week kwny kampeni ya one ambapo alikuwa na bank wanky, d'banj na omotola alipiga makiss na mahug Mr icon ya kutosha
 
Hata ccm hawakumpigia kura kweli mbaya sana jamani bora hata angekuja ukawa tusingemwacha
 
Kapewa na zari ile ndo alisimamia kila kitu
Kumbuka mpaka sasa DIAMOND anatuzo KTMA =16 +Kimataifa 13 +za heshima 2 na keshatambuliwa kama ni nembo ya taifa.NADHANI HII REKODI NDIO INAYOWAUMIZA SANA, na mutanyooka sana mwaka huu kwa7bu bado tuzo 5 ambazo yupo ktk kategori kibao hazijatangazwa na zipo tayari alizoshinda.
 
Tuzo za naija zipo nyingi hajasema zipi hata afrima ni za naija

Usijitoe upofu jamaa yako alienda kwenye event ya tuzo kubwa za Nigeria Entrainment Awards (NEA) huku kajipigilia suti ya kufa mtu ila mwisho wa siku aibu ikamfika, au unajifanya umesahau? Hahahaha
 
NEA awards imefanyika diz weekend na wiki hii diamond alikuwa Mauritius katika show ya multichoice acha ubishi wa kijinga
 
Kumbuka mpaka sasa DIAMOND anatuzo KTMA =16 +Kimataifa 13 +za heshima 2 na keshatambuliwa kama ni nembo ya taifa.NADHANI HII REKODI NDIO INAYOWAUMIZA SANA, na mutanyooka sana mwaka huu kwa7bu bado tuzo 5 ambazo yupo ktk kategori kibao hazijatangazwa na zipo tayari alizoshinda.

Hizo tuzo alibeba kwenye enzi za ujima kipindi watanzania wapo gizani, ila sasa asahau kabisa tuzo za kimataifa.
 
NEA awards imefanyika diz weekend na wiki hii diamond alikuwa Mauritius katika show ya multichoice acha ubishi wa kijinga

Acha kujipa upofu ww, Unadhan hiyo suti nyekundu mondy alivaa akiwa wapi?
 
Back
Top Bottom