kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Mbona hajam tag huyo mtu? Je tuzo za naija alipata? Hahahaaaa
Tuzo za naija zipo nyingi hajasema zipi hata afrima ni za naija
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hajam tag huyo mtu? Je tuzo za naija alipata? Hahahaaaa
Hope alimtag ?
Tuzo za naija zipo nyingi hajasema zipi hata afrima ni za naija
Tuzo za naija zipo nyingi hajasema zipi hata afrima ni za naija
Kwani wwe unajua tuzo zipi alikosa.
Alizo jidai kupigilia na suti hahqhaaaaa aibuuuuu
Siku hizi Umekua mpiga picha Wa hiki kijamaa cha mafisiemu?
Kumbuka mpaka sasa DIAMOND anatuzo KTMA =16 +Kimataifa 13 +za heshima 2 na keshatambuliwa kama ni nembo ya taifa.NADHANI HII REKODI NDIO INAYOWAUMIZA SANA, na mutanyooka sana mwaka huu kwa7bu bado tuzo 5 ambazo yupo ktk kategori kibao hazijatangazwa na zipo tayari alizoshinda.Kapewa na zari ile ndo alisimamia kila kitu
mimi mwenyewe kura yangu hapati
Tuzo za naija zipo nyingi hajasema zipi hata afrima ni za naija
Usijitoe upofu jamaa yako alienda kwenye event ya tuzo kubwa za Nigeria Entrainment Awards (NEA) huku kajipigilia suti ya kufa mtu ila mwisho wa siku aibu ikamfika, au unajifanya umesahau? Hahahaha
Kumbuka mpaka sasa DIAMOND anatuzo KTMA =16 +Kimataifa 13 +za heshima 2 na keshatambuliwa kama ni nembo ya taifa.NADHANI HII REKODI NDIO INAYOWAUMIZA SANA, na mutanyooka sana mwaka huu kwa7bu bado tuzo 5 ambazo yupo ktk kategori kibao hazijatangazwa na zipo tayari alizoshinda.
NEA awards imefanyika diz weekend na wiki hii diamond alikuwa Mauritius katika show ya multichoice acha ubishi wa kijinga
Acha kujipa upofu ww, Unadhan hiyo suti nyekundu mondy alivaa akiwa wapi?