Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Hivi ni kweli alisema? Duuu
 
Shardcole kedrick pwilo Th Name sumbai Abou Saydou hii domo alimjibu shabiki wake aliyemwambia tuzo za naija hatopata coz anashabikia ccm

Kaongea point ndo maana hata marekani ujawahi ona mashabiki wakimtukana msanii kisa Ku support chama cha kisiasa kwetu tz msanii akiwa ccm ni kosa akiwa ukawa yupo sahihi naona watz wanaichukia Sana ccm
 
Last edited by a moderator:
Kaongea point ndo maana hata marekani ujawahi ona mashabiki wakimtukana msanii kisa Ku support chama cha kisiasa kwetu tz msanii akiwa ccm ni kosa akiwa ukawa yupo sahihi naona watz wanaichukia Sana ccm
We acha upuuzi ww unafananisha tz na usa serious una matatizo ww kule ni next planet boy
 
We kweli boya kwan tz na USA zote si nchi au umeambiwa usa n bara acha kuwa mtumwa hata Kenya ckuona mashabiki wa jaguar wakishumshia kisa kusupport Uhuru
 
Kaongea point ndo maana hata marekani ujawahi ona mashabiki wakimtukana msanii kisa Ku support chama cha kisiasa kwetu tz msanii akiwa ccm ni kosa akiwa ukawa yupo sahihi naona watz wanaichukia Sana ccm

Mbona hajam tag huyo mtu? Je tuzo za naija alipata? Hahahaaaa
 
We kweli boya kwan tz na USA zote si nchi au umeambiwa usa n bara acha kuwa mtumwa hata Kenya ckuona mashabiki wa jaguar wakishumshia kisa kusupport Uhuru
Duu kweli taifa linaelekea pabaya ungesema hata southafrika au niger kidogi USA unaota ww au kapimwe akili #next planet kule
Acha ujinga wako ww hatuwezi wafikia hadi mwisho wa maisha yetu unafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…