Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Lakisipesa?Nimefurahi sana huyu kada wa ccm kukosa tuzo
Hatuna muda wa kuongelea tuzo local kama ile, ukitaka hata wewe unaweza kufungulia thread tukachangia
Binadamu na 'roho' zenu,mna nguvu za kimungu mnaamua nani apate nini na nani akose nini?
Pumbaavuuu....
CCM muokoeni Diamond anaangamia huku.....jamaa hakujua kuwa mashabiki wake tunatoka vyama na itikadi tofauti.....na bado ataisoma mwaka huu....NYIMBO ZAKE TUTASIKILIZA ILA KURA ATAPIGIWA NA WANACCM WENZAKE
Ataisoma namba
Unavyotamani sasa aisome hiyo numba mpaka mate yanakutoka, yani diamond akikosea kidogo kwenu ni kama xmas au idd, yani inakuwa ni full shangwe unatamani akosee tena na tena uzidi kupata raha,kumbuka wewe unavyomwombea mabaya kuna wengine wanamuombea mema sasa hapo Mungu anaangalia nani mwenye justification ya kile anachoomba so don't get surprised ukawa mtumwa wa maumivu yanayotokana na mafanikio ya diamond
Yani kuna watu wanampenda diamond kwa mahaba mazito kuliko wandani wao!
Kaah....
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.
Mkuu Paula kilaki mi napenda sana juhudi za Diamond ktk kutafuta, sipendi tabia zake.
Mkuu Paula kilaki mi napenda sana juhudi za Diamond ktk kutafuta, sipendi tabia zake.
Hadi hivi ninavyoandika DIAMOND keshawania TUZO 27 ZA KIMATAIFA KATI YA HIZO 13 ZA KAWAIDA NA 2 ZA HESHIMA NA 12 KAKOSA KWA HIYO KUKOSA NA KUPATA HAIJAANZA LEO.Lakini unajua keshatangazwa kuwania tuzo za MTV EMA KATIKA WASANII WA5 BORA AFRICA, nadhani ukisikia hivi unavimba zaidi ya kobra mwenye sumu kali.Hizo tuzo alibeba kwenye enzi za ujima kipindi watanzania wapo gizani, ila sasa asahau kabisa tuzo za kimataifa.
Mpaka aombe msamaha kwa press conference tena airushe live tv na redio zote kwa masaa matatu! Pili kwa hiyo conference afanye live performance ya single atakayokuwa ameitunga specifically kwa ajili ya kuomba msamaha! Habari ndo hiyo!
Ukivote kwa kiba au Diamond AFRIMMA haisaidii kwa vigezo vyao anayefit ni eddy Kenzo au Diamond kwa east Africa na kwakuwa kura za Tanzania zimegawanyika na kiba hawezi kupata katika category hii ya east Africa mshindi atakuwa eddy kenzo kumbuka kura zinachangia 30% na wao wenyewe wanatoa 70% kama majaji for them Kenzo na Diamond wanaregard kama international artist Kenzo kupitia ushindi wake wa BET na Diamond kupitia MTV Base na matamasha walioyafanya ndani ya mwaka huu.
Acha kuongea ujinga wako huo, tuzo hapewi mtu kwa reference ya tuzo ya nyuma, ndiomana utaona hadi wizkid huwa anazidiwa na wasanii wa kawaida, hapo Afrimma subiri uone kazi maana hata hiyo tuzo ya Eddy kenzo huko Nigeria 45% ya Votes zimetoka tz, simply teamkiba ndiyo wenye nguvu + teamwema waliompa ushindi Eddy
mabadilko lowasssaaaaaaaaaawssssaaas
lowasssaawaa mabadiliko.....