Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga votes nyingi kwa Diamond hadi system ya kuvote ikaharibika na kufungwa. Watu wengi makini walibaini uongo huo na kuupinga ila ndugu zetu hawa walituona sisi kama heates kumbe tulikuwa tunasimamia ukweli.
Gilba hizo na uongo huo wa mchana ambao lengo lake ulikuwa ni kuwahadaa watanzania kuwa Diamond is unshakable.
Hatimaye uongo huo juzi umefika mwisho baada ya matokeo ya tuzo hizo kutoka ambapo msanii Eddy kenzo wa Uganda kubeba tuzo hiyo ya best male in East Africa, huku Diamond akiambulia patupu na aibu tele.
My take:
Zama za gilba na uongo taratibu zinaenda kufika kikomo, tusubiri October 10 #Afrimma.
Uyu Kenzo me napenda sana muziki wake

Mpaka aombe msamaha kwa press conference tena airushe live tv na redio zote kwa masaa matatu! Pili kwa hiyo conference afanye live performance ya single atakayokuwa ameitunga specifically kwa ajili ya kuomba msamaha! Habari ndo hiyo!
Unaandika kama unaa sijui nini!
Mi wasanii nimewapuuza wote hata waimbeje kura sipigi to me my country first waendelee kukata miuono jukwaani wakifulia wanakufa maskini.
Ukivote kwa kiba au Diamond AFRIMMA haisaidii kwa vigezo vyao anayefit ni eddy Kenzo au Diamond kwa east Africa na kwakuwa kura za Tanzania zimegawanyika na kiba hawezi kupata katika category hii ya east Africa mshindi atakuwa eddy kenzo kumbuka kura zinachangia 30% na wao wenyewe wanatoa 70% kama majaji for them Kenzo na Diamond wanaregard kama international artist Kenzo kupitia ushindi wake wa BET na Diamond kupitia MTV Base na matamasha walioyafanya ndani ya mwaka huu.

kuna washkaji hapa kitaa chetu walikuwa blood die hard fans wa diamond ila walikuwa wana wa ukawa jamaa alivopost tu nanihi washkaji hadi leo hawataki kupiga kura,