Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Kupigia kampeni ccm sema cku izi kaacha kibakuli ndo kaanza

Mondy na kiba wananiboa sana kujipendekeza kwa CCM, mi siku hiz hata kiba mwenyewe nimejikuta naishiwa nguvu za kumpigia kura, nimebaki kuwa shabiki wa kawaida
 
Mondy na kiba wananiboa sana kujipendekeza kwa CCM, mi siku hiz hata kiba mwenyewe nimejikuta naishiwa nguvu za kumpigia kura, nimebaki kuwa shabiki wa kawaida

Haaaah tatizo wasanii wa bongo njaa Sana wakiogozwa na bongo muvi
 
Acha kuongea ujinga wako huo, tuzo hapewi mtu kwa reference ya tuzo ya nyuma, ndiomana utaona hadi wizkid huwa anazidiwa na wasanii wa kawaida, hapo Afrimma subiri uone kazi maana hata hiyo tuzo ya Eddy kenzo huko Nigeria 45% ya Votes zimetoka tz, simply teamkiba ndiyo wenye nguvu + teamwema waliompa ushindi Eddy

Unapenda kuongea ila hupendi kusikiliza jaribu kusoma na kuelewa before hujareply kitu kama utapata muda kasome vigezo vyao then utaelewa penda jenga tabia ya kuangalia TV za nje sio kila siku unaangalia clouds TV na kushinda Instagram kwasasa Eddy Kenzo na Diamond plus Sauti ya Soul ndio wapo chat ya juu East Africa na huko ndio unapobase majudge kwenye ile 70% ya kura za majudge simpendi kiba wala simpendi Diamond ila nawasupport tu kama wanamuziki wa nyumbani narudia tena pitia vigezo vya kura za majudge AFRIMMA si sawa na kill awards wanataratibu zao ambazo hazijabase kwenye kura za fans pekee yako
 
diamond alinisikitisha siku aliposema UKAWA ni watu wa KASKAZINI na hata kaa apige show kaskazini kwakuwa kaskazini ni wabaguzi sana!daaah sikuamini kama Diamond angeweza kuongea ushuzi wa hali ya juu kiasi hicho na since that day nilimpotezea nakumdharau

Ni kweli alisema hivo?
 
Hata mim hii kauli iliniacha Mdomo waz kule Instagram...

Wacha Tulambe Ndim!
 
Kwani Diamoond ndiyo mara ya kwanza kukosa tuzo? Na huo Ni ushindani Kuna kupata Na kukosa,hawezi kupata tuzo zote anazoshindanishwa kila siku,yani watu mnavyojitahidi kueneza chuki mbona Ile tuzo aliyopata Uganda hamuiongelei? Ndiyo maana nasema chuki yani mnaagalia wapi kaanguka ndiyo mmuongelee looh binadamu!
 
Mmesahau hili, bora hata huyo Diamond amekusanya tuzo fulani fulani, huyu Ali akiba nilikuwa na Mawada naye, am sole mawada na mahabath yangu juu ya mabadiliko hayana kikomo...
Nitaanza kumpigia kura december hivi.
 
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.

UKAWA hatutaki wasanii ...tunaleta mafuriko kwa sera sio wasanii...sisi sio ccm!!
 
Diamond na alikiba tayr nimesema sitowapigia kula tena mana sisi tunataka mabadiliko wao wanaendelea na maccm .
 
diamond alinisikitisha siku aliposema UKAWA ni watu wa KASKAZINI na hata kaa apige show kaskazini kwakuwa kaskazini ni wabaguzi sana!daaah sikuamini kama Diamond angeweza kuongea ushuzi wa hali ya juu kiasi hicho na since that day nilimpotezea nakumdharau

Mimi nilikuwa shabiki nguli wa huyu kijana baada ya kuleta siasa za chuki na ukanda ase sitaki hata kumsikia tena hafai
 
Back
Top Bottom