Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

Jmn how can i vote, coz naingia nikifika pale kwenye picha zao afu chini vote nashindwa nifanyaje maana nikiclik vote sion kitu, nisaidien

Chin ya picha yake ukiclick ita lod kwa sec kama 10 then itakuja box kwamba tayar umevote dor diamond
 
Sure ila wabongo hawajamstukia wengi unajua cassper hana nyodo km A.K.A ndo maana hata wa south wanampenda me pia namuelewa kwny hip hop ya africa sarkodie n cassper nyovest ndo nawaelewa
Hata Beyonce juzi juzi ametoka kumrusha....
 
Back
Top Bottom