Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

Kuna kitu najivunza hapa
Mkuu hivi majukumu ya baba kwa mtoto hasa Ni Nini?
-Kutoka pesa
-Uwepo wa affection na bonding Kati ya baba na watoto
-kutoa makazi
Ni Nini hasa Cha muhimu kwa watoto especially Hawa chini ya miaka 7

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoteza muda kwa watu wasiojua hata maana ya baba.
 
Hii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady
Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake
Je kweli diamond platnumz pamoja na kusemekana ndio msanii tajiri zaidi Tanzania kweli kashindwa kuwapa malezi watoto wake?
Diamond amekuwa akiandamwa kwenye mitandao kufuatia sakata la baba yake
View attachment 1029860View attachment 1029861

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kamtelekeza baba yake aliye mzaa atashindwa vipi kutelekeza wanae

Ni mara chache sana utanikuta nafuatilia na ku-comment kwenye thread za aiana hii ila pengine ungejiuliza: Ni nini maana ya ''ku-take care of kids''? Kwanini umekuja na conclusion kwamba amewatelekeza?
Mkuu tafuta tafsiri ya kutelekeza
Then angalia maana ya "ku take care of kids"
Then uje kuniuliza swali lako la msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini inashangaza wewe utelekezwe na baba na wewe utelekeze watoto wako.roho haikuumi.unafanya yale yale uliyofanyiwa?. Hata kama mwanamke ana hela ni vizuri baba uweke ukaribu na watoto wako. Ivan alikuwa close na watoto wake na walikuwa wameshaachana. Yule tiffa alikuwa very close na babaake. Nasikia na mtoto aliezaa na hamisa hamjali inashangaza
 
Shida mama zao wanajikuta hawamshobokei Domo sasa hio inamkeraa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekua umewahi kukaa na Zari hata kwa nusu saa ndio ungeelewa ni mtu wa aina gani,
again that woman ni ATTENTION SEEKER,

Halafu wabongo ndio mnampa kiburi huyu eti ana mafanikio kibao kwanini sasa kutwa yupo kwenye social media kugombana na wenye shida?
Yaaani kama umeongea yaliyo akili I mwangh. Huwa anajitapa anapesa mafanikio waliyonayo wako kimya yeye labda a aki akitangaza chuo cha marehemu mume wake
 
Kwaiyo malezi mnayoyasema hapo ni yapi kama sio kutoa hela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una watoto?
Kwa mtoto mdogo malezi ya pesa SI muhimu kwake kuliko kucheza na baba, kupelekwa shule na baba Mara mmoja moja, kupiga story na baba
Watoto wanaona watoto wengine wakipilekwa na baba zao shule akirudi nyumbani lazima atamuuliza mama mbona baba hatupeleki shule Kama wenzetu, mtoto hawezi uliza Kama baba katuma pesa Kwanza hata hajui umuhomu wa pesa.
Wababa wengi ndo makosa mengi yanafanyika hapo mtu akituma pesa anajua kamaliza, hajui hata hobby wala ndoro ya mtoto wake.
Nadhani ukiwa baba lazima utafute muda wa kuwa watoto wako haijalishi uhusiano wako na mama yake

Mkuu Umeongea Point kubwa sanaa... [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Diamond Anadhani kutuma pesa kamaliza kila kitu... Akasahau kua hata baba ake nae pesa alikuwa nayo lakini aliwatelekeza na pengine alikuwa anatoa pesa kishkaji tu...!! Like father like son...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiangalia humu wengi hawajui kwa mtoto affection na bonding kwa baba Ni muhimu kuliko hata pesa unazotuma kwake
Mtoto atakupenda baba Kama unampa muda wa kucheza nae, kukueleza hisia zake na kumsikiliza, kumpeleka sehemu sehemu nzuri za kuenjoy Kama kuogelea, bembea na kula ice creams
Ni vitu mtoto atavikumbuka na kuvithamini maishani kwake kote na kuvienzi kuliko hata pesa uliokuwa unatuma
Hivi malezi ni pesa tuu! Anyway huwezi jua majority Hulu wametokea familia Kama ya mondi
Baba Hana nafasi mama apambane na Hali yake kulea watoto
Shame mondi!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's very sad kuona watu wanajadili kitu ambacho hakijadhibitishwa pande zote mbili, sababu tu ya comment moja mtu kafungua uzi na watu wanatitirika kwa shutuma nzito nzito hahaha hiki ndicho Zari anakitaka na Diamond tangu kaachana nae hajawahi kumzungumzia nahisi ndio inamkera zaidi maana kurudi kwake harudi na attention hampi.

Watanzania wenzangu tujikite katika mambo ya msingi familia hizi zina mengi.
 
Mada zote zinazojadiliwaga humu zinakuaga na upande wa pili wa story? Swali alilo ulizwa na shabiki umeliona? Zari kareply kama mtu mwingine anavyoweza reply kwenye posts zake vile akiulizwa kitu wewe ndio unafikiria kua anatafuta attention wakati she is living her life. Diamond hana chochote cha kuongea ndio maana kaufyata mbona wengine anawaongeleaga vibaya
 
Back
Top Bottom