Mkuu una watoto?
Kwa mtoto mdogo malezi ya pesa SI muhimu kwake kuliko kucheza na baba, kupelekwa shule na baba Mara mmoja moja, kupiga story na baba
Watoto wanaona watoto wengine wakipilekwa na baba zao shule akirudi nyumbani lazima atamuuliza mama mbona baba hatupeleki shule Kama wenzetu, mtoto hawezi uliza Kama baba katuma pesa Kwanza hata hajui umuhomu wa pesa.
Wababa wengi ndo makosa mengi yanafanyika hapo mtu akituma pesa anajua kamaliza, hajui hata hobby wala ndoro ya mtoto wake.
Nadhani ukiwa baba lazima utafute muda wa kuwa watoto wako haijalishi uhusiano wako na mama yake
Sent using
Jamii Forums mobile app