iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko ukingoni na lina changamoto kubwa ya pesa,na hata nyimbo anazotoa Diamond sasa zimekuwa zikigusia hilo