Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

Kwa vikurumbembe.....
Screenshot_2015-12-20-01-04-54.png
 
Nimesoma mawazo ya watu hapa nimegundua kitu ambacho sikutalaji mwanzo. Nimegundua wengi wamchukia Dangote. Ila angalizo alikofika hamwezi mshusha alikofika hawezi rudi tandale poleni kwa chuki. Alikofika Dangote hata akifilisika hata kuwa wenzangu na wewe. Acheni upambe acheni upambe, acheni chuki. Diamond ametusua na utasubiri, kuota na kuloga aishiwe ka ww ila haitatolea
 
jamaa ndio anafilisika huyo

Kweli kabisa mkuu,safari za zari south Africa na watoto wake,diamond,matumizi ya familia,outings,mavazi,chakula,kuishi hotel,chibu lazima ataanza kuuza tuzo moja moja halafu baadae nyumba kisha anahamia kuishi kwa juma nature au inspekta wa jeshi la mgambo,haroun Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Iwe kweli au uzushi ila mchizi kiukweli inabidi asubiri tu remix ya utanipenda ya zari. ..maana kauliza hajajibiwa ila kumtuliza malaya type ya zari ni stress, wale ni mademu wa kubutua sio ujenge kibanda kabisa
 
Demu ndo anataka mgegedo na anaulipia!
Billionaire ahongwe !
Utani wa karne huo.
 
Diamond hana hela ya kumhonga zari.. Zari alizoea pesa zipo muda woote, anabadili tu lamborgini ya njano, nyeupe anahamia audi, ferari, hummer kwa mtindo huo asingekubali kuwa na Diamond kama anataka kuhongwa na vipesa vya madafu

Afu ni mbahili huyu demu ni hatariii, anajielewa sana maana sio mtu wa bata kama ni safari sio pesa ya chibu au zari kuwazia ni pesa ndogo saaana.. Kuhusu tiffah licha ya wazazi kuwa na pesa, ujue hakuna gharama binafsi ya kumlea kutoka kwa wazazi coz alipewa mil 50 babyshop, na bado kila mwezi anafanya shopping bure ya mil 1, baaado ni ambassador wa NMB nako alipewa pesa nzuri tu...!
 
Jamani huyu dada mbona mnasema bilionea,kwahiyo pesa zake ziko bank anatumia za Star wetu Dimond?.
 
Diamond hana hela ya kumhonga zari.. Zari alizoea pesa zipo muda woote, anabadili tu lamborgini ya njano, nyeupe anahamia audi, ferari, hummer kwa mtindo huo asingekubali kuwa na Diamond kama anataka kuhongwa na vipesa vya madafu

Afu ni mbahili huyu demu ni hatariii, anajielewa sana maana sio mtu wa bata kama ni safari sio pesa ya chibu au zari kuwazia ni pesa ndogo saaana.. Kuhusu tiffah licha ya wazazi kuwa na pesa, ujue hakuna gharama binafsi ya kumlea kutoka kwa wazazi coz alipewa mil 50 babyshop, na bado kila mwezi anafanya shopping bure ya mil 1, baaado ni ambassador wa NMB nako alipewa pesa nzuri tu...!

Kwa hisani ya NMB,vinginevyo mambo yangekuwa mabaya
 
Back
Top Bottom