Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

Nyimbo lenyewe baya...
Sema kwako si kwa wote na ndio maana hakuna nyimbo yoyote ya bongo ndani ya siku 2 ina viewers zaidi ya 450,000 youtube,na kwa bongo hakuna nyimbo iliyopata udhamini mkubwa kama hii,siku hizi zinaongea takwimu sio hisia ni rahisi sana kusema nyimbo fulani imebuma au imefanya vizuri ( unakwenda kuichunglia youtube,mitandao ya mauzo,caller tune, radio na tv za ndani na nje jinsi walivyozicheza n.k ukiongea bila ushahidi nakuita hater) electrical
 
Last edited by a moderator:
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko ukingoni na lina changamoto kubwa ya pesa,na hata nyimbo anazotoa Diamond sasa zimekuwa zikigusia hilo
Hii habari ilivyokaa ni kama vile Zari ni Golikipa.
 
So mnajua Magazeti ya nyumbani kwa umbea na kWa kukudha abali c mnajuaga,
utasikia tafarani kwa zari*dai amemwagwa.
 
Haya bwana,sikatai....ni mawazo tu hakuna ajuae ukweli.

Zari sio kama ni boya kiivo hana kitu. Kwa haraka kabisa tokea amekuwa na Dai hata zile show off za magari alizokuwa anafanya hata baada ya kuachana na Ivan amepunguza(ameacha), mindset yake haipo kwenye pesa kabisa... Suala la kutoka kwa Ivan na kutokutudiana nae kwenda kwa mtoto wa Tandale ni suala la kutunukiwa Uprofessa hapohapo, lijamaa lina pesa chafu hatarii
 
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko ukingoni na lina changamoto kubwa ya pesa,na hata nyimbo anazotoa Diamond sasa zimekuwa zikigusia hilo
We unatafuta ugomvi na hawa watu hawa Kidingi kedrick na sumbai
 
Last edited by a moderator:
Zari sio kama ni boya kiivo hana kitu. Kwa haraka kabisa tokea amekuwa na Dai hata zile show off za magari alizokuwa anafanya hata baada ya kuachana na Ivan amepunguza(ameacha), mindset yake haipo kwenye pesa kabisa... Suala la kutoka kwa Ivan na kutokutudiana nae kwenda kwa mtoto wa Tandale ni suala la kutunukiwa Uprofessa hapohapo, lijamaa lina pesa chafu hatarii
Acha uongo ivan na domo nani anapesa?
 
Acha uongo ivan na domo nani anapesa?

Maelezo yote hayo hujaelewa? ndio maana nikasema Zari kutoka kwa Ivan kuja kwa kijana wa tandale ilitakiwa atunukiwe Uprofessa kabisa,,, Yule mpuuzi anapesa chafuuuuuu
 
Unawakuwadia Dada zako kwa wanaume sio????
 
Umekaa kufuatilia nani anapesa nyingi zaidi ya Diamond au sijui nani. Hivi ndio kazi inayokuweka mjini?
Sasa wewe celebrity forum umefuata nini au hujui maana ya celebrity?
 
Domo itabidi akusanye waganga ili kumzuia zari asimtoroke, vinginevyo lazima apigiwe tu,kugharamia tiketi tano za ndege south Africa Mara mbili kwa mwezi,outing nzito kila wiki,Pamba nk
 
Hayo si maajabu hapa Dunian,hata wimbo wake MAD ICE ALISHAWAH KUUIMBA 'JE UTANIPENDA?'
Ameishaishiwa sera, nyimbo ya mad ice je utanipenda nikiwa fukara, ndo kajifanya katunga yeye. Atoe remix ya zile nyimbo za CCM
 
Ahahaahaha chibu amuhonge zar at?hamnaga pale mauno ya chibu kitandani, mtoto zar kafa kaoza chibu hatoi pesa,anatoa doz nene anawapiga deki papuch ndo maana watoto wote alowafunua hawamsahau...zari ndo atamuhonga chibu! lkn c chibu kumuhonga zari sahau.
 
Unachekesha kweli uongo huu ndio utalala?

Wewe angalia senti yako isiwe udongo, kasake zako acha wivu ea kubwabwaja bwabwaja
 
Back
Top Bottom