Sema kwako si kwa wote na ndio maana hakuna nyimbo yoyote ya bongo ndani ya siku 2 ina viewers zaidi ya 450,000 youtube,na kwa bongo hakuna nyimbo iliyopata udhamini mkubwa kama hii,siku hizi zinaongea takwimu sio hisia ni rahisi sana kusema nyimbo fulani imebuma au imefanya vizuri ( unakwenda kuichunglia youtube,mitandao ya mauzo,caller tune, radio na tv za ndani na nje jinsi walivyozicheza n.k ukiongea bila ushahidi nakuita hater) electricalNyimbo lenyewe baya...
Hii habari ilivyokaa ni kama vile Zari ni Golikipa.Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko ukingoni na lina changamoto kubwa ya pesa,na hata nyimbo anazotoa Diamond sasa zimekuwa zikigusia hilo
Atampenda kabisa tena kwa dhati...Hata mimi najiuliza Diamond akifilisika kweli Zari atampenda?
Ni ngumu kama ngamia........
Haya bwana,sikatai....ni mawazo tu hakuna ajuae ukweli.Atampenda kabisa tena kwa dhati...
Haya bwana,sikatai....ni mawazo tu hakuna ajuae ukweli.
We unatafuta ugomvi na hawa watu hawa Kidingi kedrick na sumbaiKuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko ukingoni na lina changamoto kubwa ya pesa,na hata nyimbo anazotoa Diamond sasa zimekuwa zikigusia hilo
Acha uongo ivan na domo nani anapesa?Zari sio kama ni boya kiivo hana kitu. Kwa haraka kabisa tokea amekuwa na Dai hata zile show off za magari alizokuwa anafanya hata baada ya kuachana na Ivan amepunguza(ameacha), mindset yake haipo kwenye pesa kabisa... Suala la kutoka kwa Ivan na kutokutudiana nae kwenda kwa mtoto wa Tandale ni suala la kutunukiwa Uprofessa hapohapo, lijamaa lina pesa chafu hatarii
Acha uongo ivan na domo nani anapesa?
Sasa wewe celebrity forum umefuata nini au hujui maana ya celebrity?Umekaa kufuatilia nani anapesa nyingi zaidi ya Diamond au sijui nani. Hivi ndio kazi inayokuweka mjini?
Sasa wewe celebrity forum umefuata nini au hujui maana ya celebrity?
Ameishaishiwa sera, nyimbo ya mad ice je utanipenda nikiwa fukara, ndo kajifanya katunga yeye. Atoe remix ya zile nyimbo za CCMHayo si maajabu hapa Dunian,hata wimbo wake MAD ICE ALISHAWAH KUUIMBA 'JE UTANIPENDA?'