Ahahaahaha chibu amuhonge zar at?hamnaga pale mauno ya chibu kitandani, mtoto zar kafa kaoza chibu hatoi pesa,anatoa doz nene anawapiga deki papuch ndo maana watoto wote alowafunua hawamsahau...zari ndo atamuhonga chibu! lkn c chibu kumuhonga zari sahau.
Kama naiona kwa mbali michambo ya mademu wa zamani niliowapitiagaKuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko ukingoni na lina changamoto kubwa ya pesa,na hata nyimbo anazotoa Diamond sasa zimekuwa zikigusia hilo
Duuh inamana no luv without money???
Ile V8 matumiz yke ni mazito linakula mafuta htr services ndio usiseme sasa ongeza na usupestor ssa mtt wa mbagala alijpnge tu kma hamuingzii pesa ktk account yke itaachje kukauka
Nyimbo lenyewe baya...
Hata mimi najiuliza Diamond akifilisika kweli Zari atampenda?
Ni ngumu kama ngamia........
Acha mizinguo demu (zari) ndo anamuhonga dai..
Nyimbo lenyewe baya...
hata mi nilikua najiuliza kwan kuna nyimbo nyingine au ile ile? mbona wimbo mbovu kabisa yaan kakukrupuak tu kwa jinsi vijana walivyojipanga ule wimbo hautasikika kabisa!!!! tujiulize diamond anapata ela gan za kuwez ku sustain maisha ya kifahari lets be real kwa lipi hasa? show hapigi nimeckia ndo anajiandaa krisimas kupiga dar live unajiuliza dar live kweli?
Na magazeti ya nyumbani
kwa kukuza habari si unajuaga,
Utasikia tafarani
eti Mondi kwa Zari amemwagwa,
Na venye nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga,
Kama naiona michambo
ya mademu wa zamani.............
aaaah je utanipendaaga......
la la la la la la laaaa......
au nawe utanimwaga......
[video=youtube;q9l2I]https://www.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=q9l2I tDLsUk&app=desktop[/video]
lets their love R I P.
Madem wake wazaman mshaanza michambo sasa.
na waaachane tu, HAPA KAZI TU
Na magazeti ya nyumbani
kwa kukuza habari si unajuaga,
Utasikia tafarani
eti Mondi kwa Zari amemwagwa,
Na venye nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga,
Kama naiona michambo
ya mademu wa zamani.............
aaaah je utanipendaaga......
la la la la la la laaaa......
au nawe utanimwaga......
[video=youtube;q9l2I]https://www.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=q9l2I tDLsUk&app=desktop[/video]
Zari sio kama ni boya kiivo hana kitu. Kwa haraka kabisa tokea amekuwa na Dai hata zile show off za magari alizokuwa anafanya hata baada ya kuachana na Ivan amepunguza(ameacha), mindset yake haipo kwenye pesa kabisa... Suala la kutoka kwa Ivan na kutokutudiana nae kwenda kwa mtoto wa Tandale ni suala la kutunukiwa Uprofessa hapohapo, lijamaa lina pesa chafu hatarii
Ameishaishiwa sera, nyimbo ya mad ice je utanipenda nikiwa fukara, ndo kajifanya katunga yeye. Atoe remix ya zile nyimbo za CCM