Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Huyu dogo kapambana sana Big up kwake maana wanamziki walikua wanachukuliwa kirahisi sana mpaka yeye alipogoma na Clouds wakaleta zengwe zisipigwe nyimbo zake kisa madili ya zengwe...Dogo yupo juu na anafanya vizuri niliwahi enda Nchi fulani nikakuta jamaa wapo store wanapiga nyimbo zake hawaelewi ila wanaimba kama Watanzania wanavyoimba nyimbo za DRC..
 
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…