Ilikua shida Si mchezo Kim nana aliisoma
Yaan halaf warumi akanipm "binam mbona umejiqoute ukajichamba mwenyeweee aisee nilichekaaaa, ,,nae siku hajaqoute mchambo wake akajichambaa kidogo nizimiee kwa chekoo
Hujajibu swali?????
Ajickie uchungu leba wodi zipo atajifungua. Km vip akamate roba la ndim. Hana uwezo ndio kwani uongo?! Ye mwenyewe kutwa anashinda kwny makalioni ya madam,akihangaika na mapochi ili apate walau chipc dume akalale,hapo alipo hajui hata kesho yake,leo BMW analitoa wp? Kadinda hapo ni kuwadi tu,kwanza alishamnanga Wema kua hana pesa ya kumlipa kilichomrudisha nini km sio kumkuwadia madame kwa vibopa?
Ila binamu umeumia mwenyewe uliipendaje couple yao? Pole ndo maisha, inabid uanze kuipenda couple ya shilole na nuhu mziwanda

Niliisoma nini?
Ila binamu umeumia mwenyewe uliipendaje couple yao? Pole ndo maisha, inabid uanze kuipenda couple ya shilole na nuhu mziwanda
Uliyoquote
Ilikuwa shidaaaaa
Binamu niliumiaje mwanzoni chezea harusi ya uwanja wa taifa.. muulize Kim nana anajua...
Hiyo couple ya Nuhu na Shilole wananichoshaga tu..sa hivi atachora tatoo kwenye korodani yule
Kwa hiyo vinavyoongelewa humu vyote lazima vifanyike,nikisema kadinda shoga basi niwe nishamtafuna,nikisema chid benz anakula pelle basi ni sharti niwe nishavuta naye!
NB:Is this a personal attack or what!
Ilikua shida Si mchezo Kim nana aliisoma
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW
Aaahh aaah kwa hiyo tulikuwa role models wako? Kumbe tupo juu eeh? Makofi tafadhal, karibu sana naona umekuwa gwiji na wewe